JK Mdomo AU na Kuongea Utumbo Wakati Tanzania "Ameiba Kura na Hakuna Freedom, Rights" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Mdomo AU na Kuongea Utumbo Wakati Tanzania "Ameiba Kura na Hakuna Freedom, Rights"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Feb 3, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijui kama umepata kusoma hotuba ya Kikwete African Union. Soma hapa chini na tutachambua huu utumbo na maana ya demokrasia kwa upande wa CCM.
  JK decries trend of poll-result disputes in African countries Send to a friend
  Tuesday, 01 February 2011 22:29
  By Bernard Lugongo
  The Citizen reporter

  Dar es Salaam.The most prominent emerging trend in the process of building a democratic culture in African countries, including Tanzania, is the refusal to accept election results by politicians, President Jakaya Kikwete has said.He was addressing several Heads of States and Governments at the African Union meeting in Addis Ababa, Ethiopia, last weekend. Mr Kikwete, who returned in Dar es Salaam yesterday, cited the problem as a major cause of instability and a lot of post-election crises and violence in the region.
  "Until we learn to embrace the culture of accepting defeat gracefully, democratic culture will take time to fully mature in Africa. It is an important shared value which we must work hard to build," he added.
  However, he said, democracy is taking root in Africa as clearly evidenced by the fact that multiparty political dispensations are replacing the single-party system as well as the holding of regular elections in many countries.
  "The encouraging thing about elections in Africa is the continued improvement in their organization and management," he noted.
  He said there was greater transparency and that observers from within African countries and abroad had improved the monitoring of elections.
  "Increasingly, their verdicts have been positive in most countries'," he said, adding:"This is a testimony that the people of Africa are afforded the opportunity to elect leaders of their choices, freely and fairly."

  On the whole, people enjoyed their basic freedoms of association, expression and worship as well as civil society organizations were accepted and allowed to function, he said.
  COLOR="red"]"Freedom of the press exists in many nations... The only challenge I see is that of nurturing a press that is responsible and accountable," he added.[/COLOR]
  However, he argued, democracy could thrive best where there was peace, security as well as stability, and where there was democracy and good governance, peace, security and stability were assured.
  He said there could be no durable stability where governance and democracy were lacking and human rights were grossly violated.

  Mr Kikwete said that the realization of shared values of promoting sustainable socio-economic growth and development would succeed best in an environment of peace, security and stability.

  Kuna vitu vingi na sijui nieanze wapi. Kwanza kama tunavyoelewa African Union, wanawapa watu kama JK kuongea bila hata kuangalia resume zao kama viongozi wanafanya nini nchini mwao. JK kapewa mic ya kuongea na ameanza kwa kuzungumzi demokrasia ilivyokuwa afica kama yeye amekubali demokrasia hapa Tanzania. Huku Tanzania hawazi kutoa hotuba kama hiyo ya kuhusu demokrasia wakati anataka demokrasia ya kuwachagua mafisadi kama yeye ili waendelee kuwakandamiza watanzania na kuwaibia mali zao. JK anasema Wananchi hawataki kukubali matokeo wakati yeye ni mwizi mkubwa, tangu lini mwizi akapewa sifa? Anazungumzia freedom of expression kama ndio vikwazo vya Tanzania au Africa leo wakati Watanzania tunapigania the Right to Elect Our Own Leaders not someone else place them in the office kwa kutimia njama za Tume zao, NEC. Kama kuna freedom Tanzania kwanini kuna siri kila mahali na serikali ya CCM wanafanya vikao na mikutano ya siri hata Mtanzania akitaka kujua Nani Analipwa hizo Billions of dollars hatujui? kwanini wananchi wakitaka kujua mikataba ya serikali na makampuni ya yeyote yale imekuwa siri? kwanini kama hakuna kitu cha kuficha serikali ya CCM ilienda ICC badala ya criminal court? Kama kuna democrasia Tanzania mbona Pinda na CCM hamtaki Dowans iende Bungeni na Kamti ya bunge waulize maswali kwenye live TV? Kwa kumaliza JK tunaomba usitumie jina la Tanzania kutuharibia Taifa na Wananchi kiujumla, tunakuomba uondoke kabla ya mwisho wa mwezi February tujenge Taifa letu.
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimeshindwa kusoma utumbo huu hadi mwisho. Kwa kweli inaudhi kuona jitu limekaa kwenye kiti cha urais kwa kura zilizopatikana kwa UJAMBAZI halafu linajifanya linaongelea suala la kukubali matokeo!! Huo unafiki lazima Mungu aulipe kabla ya kuondoka Duniani hapa. Kama alivyosema Mwl. Nyerere, dhambi nyingine akitenda mwanadamu adhabu yake huipata hapa hapa Duniani. Kwa maneno ya unafiki aliyoongea jk ajiandae kuadhibiwa hapa hapa Duniani. Ajiandae kuaibika.
   
Loading...