Kwanini hawatosheki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini hawatosheki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Feb 2, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huwa najiuliza sana kuhusiana na hawa mafisadi papa hadi mafisadi dagaa.
  Hivi ni kwanini hawatosheki? tatizo ni nini hasa? Maana utakuta mtu kahusika
  kwenye wizi wa Epa,meremeta,kiwira,mradi wa vitambulisho,Richimond,Dowans,
  Rada,Ndege ya rais,Tikis bandarini, kwenye mikataba feki yote nk. Na bado aki
  sikia kuna sehemu nyingine udenda unamtoka mdomoni hadi makarioni! tatizo
  ni nini hasa? Watu hao hao utakuta wanamiliki mabiashara ya mabilions of mo
  ney ndani na nje ya nchi. Utakuta wanamiliki haridhi kubwa sana,majumba ya ki
  fahari zaidi ya 20,mahoteli makubwa makubwa ng'ambo ya nchi na hapa ndani,
  magari ya kifahari ya millios of money,maapartiment ya kufa mtu mfano wa kijiji,
  watoto wao wanasoma mashule na mavyuo ya kimataifa ya bei ghali,kila benk
  utakuta wanamaacount ya pesa yaliyoshiba hadi kumwagika,wanajenga na kunu
  nua majumba ya kifahari America,ulaya na mashariki ya kati nk. lakini cha kushangaza pamoja na mali hizo zote bado wanataka kuiba kila siku. Sasa swali langu
  ni - kwanini hawatosheki? Hii mali yote wataifanyia nini? watamaliza kabla hawajafa? kwanini wasiitane kikao cha siri na waambiane enough is enough? Jamani hata mungu hawamuogopi? Na sisi akinakajamba nani tutaishi vipi?. Jamani
  kwanini hawatosheki hawa watu?. - Nawasilisha wandugu
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni nani duniani aliyeweza kuishinda tamaa?Jibu ni hakuna maana kadri mtu unavyozidi kupata kitu unachotamani ndivyo tamaa ya kupata na vingine inapokuja mpaka unaingia kaburini.
   
 3. czar

  czar JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kama nyama ya mtu shehe, wayao wanasema Ntu, ukila huachi atii.
   
Loading...