Serikali ya CCM ina tatizo gani wana Jf? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM ina tatizo gani wana Jf?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Feb 2, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ndugu wana Jf najiuliza hivi hii serikali yetu ya ccm ina tatizo gani?

  najiuliza hili swali kutokana na mambo mengi yanayoendelea katika nchii yetu inayomilikiwa na serikali ya ccm

  kwani jana tu WALIMU wapya zaidi ya 32 wa shule za sekondari waliandamana hadi Manispaa ya Arusha wakidai kulipwa fedha zao za kujikimu

  lakini pia jana hiyohiyo wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) walivamia ukumbi wa kupata vyakula na vinywaji unaotumiwa na wabunge na mawaziri kwenye hoteli ya Ubungo Plazza, wakishinikiza kulipwa mafao yao

  pia kule kilimanjaro SHULE za sekondari mkoani Kilimanjaro zinakabiliwa na matatizo mbalimbali, yakiwemo upungufu wa madarasa na nyumba za walimu na kusababisha huduma za elimu kuwa chini.

  bado kuna walimu na wafanyakazi wengi tu wa serikali ya ccm wakidai malimbikizo yao ambayo hawajalipwa hadi leo hii,

  chakushangaza ni kwamba serikali hiyo hiyo yenye matatizo kemkem leo ina kaachini na kuamuwa kuilipa DOWANS mabilioni ya pesa ambazo kama zingetumika vizuri zingeweza kusaidia angarau kupunguza matatizo yote niliyoyataja hapo juu ya kuwalipa walimu,hao wafanyakazi wa bandari na hata wale wazee wetu wa east afrika.na hayo ni baadhi tu ya matatizo yanayo wakumba wafanyakazi wake


  sasa wana Jf Tujiulize mala mbili hivi hii SERIKALI YA CCM inatatizo gani?

  mapinduziiiii daimaaaaaaaaaaa:bump::msela:
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  matatizo ya wafanyakazi si kipaumbele chao, umesahau kama mkulu huu ndo yupo kwenye kipindi cha mwisho? Nchi haina mwenyewe, serikali haina pesa, maana kama mpaka poshi za vibaraka wao zimekatwa unategemea nini?
  Subirini kidogo watapandisha umeme tena karibuni kwa zaidi ya 40%.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa kipaumbele cha CCM ni kuwalipa DOWANS kwanza then the rest follows, unajua nchi hii ni kama vile haina Rais wala Waziri Mkuu
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :coffee::coffee::coffee:
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unauliza maswali yote hayo halafu unamalizia na kibwagizo cha 'mapinduzi daima', sasa sijui unataka tukueleweje? hayo ndio mapinduzi yenyewe EBO!!
   
 6. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  You are either inconsistent or a hypocrite!!!!!!!
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huna habari kwamba Tunisia na Misri kote wametolewa baga kwenye kiti cha ufalme na Mi-JF mingi ya hukoo, na sasa mwingine kubakia tu kupumulia mashine huko??

  Sasa hivi 'Social Media' ni mara mia kwa nguvu kuliko hata vyombo vya habari hivi vya asilia.
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  aaaaaaaaaaaah mkuu i am not a person who pretends or opinions that they do not actually have,i am a realistic person,
  tatizo lako unadhani kila atowae mada apa basi ni pretender shame upon u,katika gurudumu hili la kutafuta mabadiliko hutakiwi kuwepo kwani umekuwa ni mtu wa kufikilia mwisho wa vidole vyako,kuwa makini kaka tupo katika mapito na tunahitaji kufanya kweli kupitia jf kama upo hapa kukatisha watu tamaa this is not a right place please will you find (另一个地方)-place?

  mapinduziiiii daimaaaaaaaa:clap2::sick:
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ndugu nawe usiwe mvivu wa kufikilia bana,kibwagizo cha mapinduziiii daimaaaa hakijaanza leo ni kuonyesha kuwa tunahitaji mabadiliko,ama kwakuwa ni mwumini wa upande wa pili basi huona taabu sana nitumiacho kibwagizo hicho? nami ni mwumini wa upande wako

  tambuwa MAPINDUZIIII DAIMAAAA si kwa ajili ya ccm,tulianza na hiki kibwagizo hata kabla ya vyama vingi na kila mtu wa enzi hizo alitumia kibwagizo hiki ilikuwapa wanaharakati moyo wa kuendelea na mapambano,so tupo ktk mapambano na ni lazima nikitumie kibwagizo hiki kama wana jf watumiavyo vibwagizo vingineeeeeee


  mapinduziiiiii daimaaaaaa:popcorn:
   
 10. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hilo si swali la kuuliza! Better come up with a proven conclusion..that Serikali ya CCM ina matatizo!..huwezi kukaa na wezi,mkapanga mipango,na kuzungumza lugha moja,then ukasema eti una maslahi na maskini wakulima,au wavujaJasho wafanyakazi.!.ni wazi mtapanga kukwapua na kuneemesha familia zenu..mfano jana pale Biafra wamejazana wamama,vijana wasokuwa na ajira,wanashangilia na kucheza mziki wa Captain Komba na CCM yake, inasikitisha! Kwani CCM ni watu wa posho na opportunists!
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  :clap2:
   
 12. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hiyo. Asante.
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Tangu nchi hii imepata uhuru serikali ni hiyo hiyo tuu.
  What do you expect?
   
 14. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hayo uliyoyataja ni baadhi tu ya matatizo ya CCM ya kutokua na utayari wa kutatua matatizo ya msingi ya nchi hii. Priorities zao ni kulipa Dowans kwa sasa na si kushughulikia mambo ya msiingi!
   
 15. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Kama wewe ni mwanamapinduzi tumia kibwagizo cha "PEOPLES POWER" mfano ni kama pale Misri wanatumia "Peoples Power"
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Inategemea nani unamuuliza suali hili.
  Venyewe CCM inaona haina matatizo na ndio maana wanaendelea kuvuna shamba la bibi bila huruma.
  Ndio maana wanaendelea kuadhibu wananchi bila huruma, ndio maana inatesa wanafunzi bila huruma, ndio maana itawapeleka puta wafanyakazi bila huruma, ndio maana inatufukarisha na kutugaia umaskini bila ubaguzi.

  Sisi wananchi tunaona CCM wana matatizo. Serikali ya CCM ina matatizo, sio tatizo moja tu!
  In fact yenyewe CCm sasa ni tatizo kwetu!.... Lakini inaonekana bado hatujawa tayari kuishughulikia tatizo hili. Hatujaamua bado kuiadabisha au kuiwajibisha serikali ya CCM.
  Kama wewe uko tayari, elimisha wengine waone kuwa serikali ya CCM ni Tatizo ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa haraka.
   
 17. D

  DENYO JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  serikali ya ccm ina matatizo yafuatayo=
  1. Imedidmiza maisha ya watanzania kwa kuwapatia malazi duni, maslahi duni, afya duni , elimu duni na miundo mbinu duni

  2. Serikali ya ccm imeshindwa kuzuia ufisadi na kuwapeleka mahakamni wala rushwa

  3. Serikali ya ccm imejaa mafisadi ndio maana haiwezi kumaliza ufisadi

  4. Serikali ya ccm inalindwa na polisi kwa kutishia raia na kuwaua wanapoandamana

  5. Serikali ya ccm inaogopa katiba mpya stahiki ndio maana inaunda tume

  6. Serikali ya ccm imepatikana kwa kuchakachua

  7. Mambo ni mengi lakini kikubwa umaskini huu wa sasa ni matokeo ya ccm na serikali yakle
   
 18. czar

  czar JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Simple UONGOZI.
   
Loading...