Huu Mtindo wa UVCCM Kufanya Shoo ya Gwaride Maana Yake Nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu Mtindo wa UVCCM Kufanya Shoo ya Gwaride Maana Yake Nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 2, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Source TBC1. Jana.

  Wakati wakiwa wanapauka viwanja vya Biafra.

  Kwa mbwembwe walionesha kutembea kwa kile kilichoitwa kikakamavu.

  Ni propaganda? Provocation?
   
 2. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 2,412
  Likes Received: 2,896
  Trophy Points: 280
  Huo ukakamavu utakutna na nguvu ya UMMA
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,367
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  wanataka kupata kichapo
   
 4. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,451
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Ndio wanaanza kuwa brainwashed taratibu kuwa makada badae....
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  [​IMG]I need that weed!
   
Loading...