Hivi kuna sababu waziri kutembea na wanahabari!!!??

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,159
9,360
NIMEKUWA NIKIJIULIZA MARA NYINGI KAMA KUNA SABABU KILA SEHEMU WAZIR AU KIONGOZI ANAPOFANYA KAZI KUONGOZANA NA WANAHABARI ,HII INASAIDIA TAIFA AU MBWEMBWE TU ZA KUTAKA UMAARUFU.

Kuna watu kama magufuli ,au mama Tibaijuka wameanza kwa mbwembwe ,,,,mama kabomoa ukuta !mara Magufuli ksema nn ,Je kubomoa ukuta mmoja ndio julumu la waziri linatufanye tumshangilie kumbuka kuna maeneo mengi mno ya kubomoa atabomoa mangapi ,kinachotakiwa ni yeye kukaa ofisini na kuaandaa mkakati endelevu wa kuboresha makazi si kupambwa na Magazeti!

Na sisi Wtanzania tuache ushamba kazi ya waziri si kuandikwa magazetini tunataka kuona mabadiliko ya kweli sio porojo! Kuna mawaziri awamu ya nne ni watulivu hawana makekek kama si ubovu wa kamand awao nina uhakika watafanya vizuri mmjawao ni WAZIRI WA aFYA umeshamsikia akipiga kelele!
 
Back
Top Bottom