Rostam atiwa kivuli na kigogo wa juu kutajwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam atiwa kivuli na kigogo wa juu kutajwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Feb 1, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ukisoma hali halisi inavyokwenda, jinsi viongozi na wenye dhamana ya kumtaja rasmi mmiliki halali wa Dowans, inaonyesha dalili ya kiwingu kinachowatia ububu huo. Angekuwa ni kigogo mdogo tu na kama angekuwa ni Rostam peke yake alishalipuliwa zamani kabisa.

  Nakumbuka kulipokuwa na tatizo kubwa la umeme na kabla Ridhmond haijakubaliwa tenda hiyo Mheshimiwa Rais Kikwete alitamka rasmi kuwa matatizo ya umeme yatakuwa ni historia tu, na mara tukasikia Richmond hiyo ikaibuka.

  Idara za usalama zinawajibika, idara za kuzuia rushwa zinawajibika, mkuu wa nchi anawajibika kwa vile masuala ya masuala hayo yasingefanyika bila hao kujua.

  Mheshimiwa Hosea anasema hawezi tamka mmuliki halali labda akiitwa kwenye kikao cha kamati ya bunge. Nini anaogopa?
  Kwenye kumbukumbu za Wikileaks Hosea huyo huyo anasema Rais Kikwete anakwamisha utekelezaji kwa kuwanusuru vigogo wasishtakiwe kwa matatizo haya ya bribe (backhander).

  Ni dhahiri kuna woga kwa wahukika kumnyooshea kidole mhusika mkuu na hata kama ni mshiriki na mhusika mkuu ni mwingine. Uadilifu wa viongozi unatiashaka na ni doa.
   
 2. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du hebu tupe source ulikopata jina lake kabla hatujaanza maandamano mana mpaka sasa gazeti la East Africa la jana limesema ni Bw Aziz kwani ndiye anayeweza kufungua a/c kuingiza pesa yoyote (94bn)

   

  Attached Files:

 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Haina maana vigogo ndio wamiliki, ila kutoa baraka au kushirikishwa ni dhahiri watamlinda, na fahamu kuwa wafanyabiashara waasia wajanja sana, na nimeshuhudia wanavyofanya hata katika mataifa yaliyoendelea. Biashara zao nyingi ni za kificho zaidi kuliko usajiri wa mojakwa moja.
  Kwa maneno mengine ikijulikana kama alipata baraka kwa vigogo fulani kuendesha suala la Dowan, hao vigogo wataelewekaje kwa wananchi waliowapa dhamani ya kuongoza nchi?
   
 4. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,171
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Huyu R Ni jeuri kweli kweli j ajaribu kumgusa ndipo watz mtaamini sura ya kiukweli
   
 5. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Inasemekana PCCB walimwita kumuhoji huyo jamaa, akasema na wakataka kumshikilia kumpereka mahakamani; akasema mkimwaga mboga mimi nitamwaga ugali hata kama nikiuwawa ukweli uteleweka, kuanzia hapo kesi kweshenea; labda kama kuna wanajua vizuri hili swala watuelezi maana hii ni tetesi.
   
 6. E

  Elifasi Senior Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali langu: hakuna kitu kweli watanzania tunatakiwa tufanye? Cha kimapinduzi? Maana ndo ivo hata ukiongezewa kamshahara sku iz, afadhali hata ilivokua kabla......... maisha magumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.. jamani tutakaa tunatikisa vichwa tu juu na chini kulia na kushoto bila kutumioa mikono na miguu yetu, jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  :angry::angry::angry::angry::angry::angry::boxing::boxing::boxing:
   
 8. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Tanzania ni ya vilaza tu, kwani kama kesha julikana, hatua inayofuata ninini? hamwoni nchi nyingine zimesha anza kuchukua hatu? au mnasubiri mtiwe vidole ndo mjue watawala wameshindwa kuongoz TZ?
   
 9. s

  salisalum JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35

  Elifasi na Wana JF wote,

  Wanasheria watashauri kama hili ni uhaini. Tuitake Serikali hii ijiuzulu mara moja. Wameshindwa kuendesha nchi. Wamevunja katiba Kwa kuendekeza rushwa mtu wa kati akiwa kiongozi mwenyewe. Jamani nina uchungu!
   
 10. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo Rostam ndiye Master mind wa EPA. Pesa za EPA kwa CCM wote mnajua ndizo ziliwarejesha Madarakani 2005. Rostam ndiye Kagoda na Meremeta. Pesa zilizotokana na Uozo huo ndizo zimewaweka viongozi wengi madarakani. Rostam ndiye Richmond na Dowans chain of illegal companies. Rostam ndiye financier wa CCM. Kwa profile hiyo utegemee Rostam atapata highest protection kutoka Highest office in this United Republic.
   
 11. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  habari diyo hiyo!!!!!!!! Huyu Muindi/ mwarabu ndo ana nguvu zote za kuamua namna anavyoweza kutumia hiyo tuzo:A S 20:
   
 12. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Cynically Kikwete is the kingpin of Dowans. The evil trio of Kikwete, Rostam and Lowassa are what essentially called the "Vinara wa Ufisadi Tz". You just can't get beyond these b'coz their hands and networks are so wide and complex
   
 13. D

  DENYO JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  roastam ni mjanja sana anakula na wakuu wa chama chake lakini nafikiri mwisho wa ufisadi unakaribia saana -people s power ndio iliyoshika mpini sijui atachomokea wapi ataondoka na wanaombeba.
   
 14. czar

  czar JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona liko wazi na anayemlinda anajulikana na still tunahangaika kumjua? Ah ni IKULU bana. Nimesema sasa.
   
 15. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  VAA NGUO NYEUSI AU FUNGA KITAMBAA CHEUSI 05-02-2011 kama ishara ya maombolezo ya janga linaloitwa CCM
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Ni dhahiri CCM imebatilisha siasa za azimio la arusha na sasa CCM hiyo hiyo inawakumbatia matajiri, na CCM imeshanasa kwenye urimbo wa matajiri. Na matajiri wanajua udhaifu wa CCM kwamba ni pesa.
  CCM ni vinara wa wizi wa jasho la wananchi. Angalia vita vinavyoendeshwa na halmashauri zilizoshikiliwa na vyama vya upinzani kurejesha ardhi na majengo ya serikiali yaliyotekwa na ccm.
  Viwanja vya michezo vilivyojengwa kwa nguvu ya wananchi vimetekwa na ccm na mapato yanaingia kwao bila kuvifanyia matengenezo viwanja hivyo. Uwanja wa Alhasan Mwinyi Tabora, Majimaji Songea na kwingineko ukiona leo vinachefua kwa jinsi visivyoshughulikiwa ila wameweka tu bakuli kukinga mapato.
  Upinzani ukishika nchi na kurudisha mali za rasilimali za umma zilizotekwa na CCM ndio itabaki tu historia ya CCM.
   
 17. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,033
  Likes Received: 8,523
  Trophy Points: 280
  Mi nangojea tu maamuzi ya kesi hiyo naona kuna wanamapinduzi wa kweli humu sasa uanamapinduzi uwe halisi si wa kubofya button za simu ama PC
   
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  :msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
  Yes uanamapinduzi upo na wanamapinduzi wanazidi ongezeka.
  Jukumu la kwanza la wanamapinduzi ni kujenga hoja ya civic rights ndo jukumu tunalojenga sasa. Tunahitaji vijana wenye mwelekeo wa uelewa sahihi katika mapambano ya kuikomboa ili tujenge taifa lenye hadhi ya kujiendesha kidemokrasi, kiuchumi na kiutamaduni.
  :peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace:
   
Loading...