Maswali 9 kwa Rostam Azizi kuhusu Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali 9 kwa Rostam Azizi kuhusu Dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Feb 2, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hongera Mwanakijiji kwa uzalendo wako.

  Mimi nitapenda kuongeza swali moja kwenye yale ya kwako uliyomuuliza Rustam :Maswali tisa kwa Rostam Aziz kuhusu Dowans

  Swali langu ni kuwa je Brig. Jen. (mstaafu) Suleiman Mohammed Al-Adawi wa Oman na Falme za Kiarabu alikuwa na masilahi gani na uchaguzi wa Tanzania na je alitarajia kunufaika vipi na ushindi wa Kikwete?
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  What is the meaning of all this nonsense?
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,385
  Trophy Points: 280
  nyongeza nzuri, shukrani.
   
Loading...