Ama kweli chadema chama dume.
Sote tumeshuhudia hotuba ya waziri mkuu bungeni aliyotoa pamoja na mambo mengine kuwa serikali iko katika mchakato mkali wa kutayarisha muswada na kupeleka bungeni...
Rais jakaya mrisho kikwete ndie Rais pekee anayeleta maendeleo yanayoonekana kwa macho katika zote za maendeleo 1. Elimu. ameasisi amejenga kila kata secondari na...
Wataalamu wa umeme nchini (Electical Engineers), na wadau wengine watakutana kujadili ufumbuzi wa kitaalamu wa matatizo ya umeme nchini.
Barua ya mwaliko huo inasambaa kwenye internet na mimi...
Unapokuwa vitani kuna suala moja ambalo mtu yeyote anayefuatilia mambo ya vita au jeshi analijua. Makamanda na Wapiganaji wote huvaa mavazi yanayofafa bila kujitofautisha. Kuna sababu kubwa mbili...
Siku 21 za Ngeleja: Taifa linaelekea Gizani Rasmi
Nashtushwa sana na mbinu za serikali kuendelea kulifanya suala la upatikanaji wa Nishati ya Uhakika ya Umeme kuwa la kisiasa zaidi kuliko kupata...
Dear all of you,
It is nearly two days since Norway was hit by the worst atrocity it has seen since the Second World War. On Utøya, and in Oslo.
It seems like an eternity.
These have been...
Mgeja Tumechoka Siasa zako za Maji Taka, Lini Utaachana na Sitta?
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga unaonyesha kwa jinsi gani upo kwa masilahi ya kundi fulani kutokana na kuendelea kushabikia...
nimejaribu kwa muda mrefu kuangalia ni kwanini wenzetu wa urabuni na nchi nyingine wakaamua maandamano kama ndio njia kuu ya kudai chao, ukiangalia kwa umakini sana utagundua nchi zoote zile zina...
habari wana jf
kama kuna thread inahusiana na hii cartoon naomba moderator uiunganishe.
mbali na hapo, hii ni nzuri kuanzia kufikiri ni jinsi gani ilivyo vigumu 'kujivua gamba' tofauti na wengi...
THE INSTITUTION OF ENGINEERS TANZANIAMKUTANO WA KUJADILI TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIA:MAHALI: KARIMJEE HALLSIKU/TAREHE: JUMAMOSI, 30/07/2011MUDA: SAA 4 ASUBUHI – SAA 6 MCHANAMADA...
Wadau leo hii nimepata salary slip ya mwezi July,kamshahara kangu kameongezeka kidogo kwa kama 11.2%.,sasa sifahamu kuwa hili ni ongezeko la kawaida kwa mwaka au ndo lile ongezeko aliloahidi JK na...
Monday, 25 July 2011 21:13
KILA MMOJA ATAMBA CHAMA CHAKE KUCHUKUA JIMBO, CCM YASEMA BADO HAWAJAPANGA
Waandishi wetu
SIKU chache baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kutangaza kuwa kiti cha...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Ruvuma, imemhukumu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambaye pia ni Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi, John Komba, kutumikia...
watanzania tumeshuhudia malumbano na matatizo kibao tangu uchaguzi wa mwaka jana,huu uchaguzi wa igunga ndio wa kwanza tangu uchaguzi mkuu mwaka jana,watanzania wote tuna hamu tujue uwezo wa...
Kwa kweli hali ya maisha imekuwa ngumu sana. Mafuta ya taa shs 2040, petrol shs 2100, dizel shs 2100. Sijaelewa lengo lilikuwa kuwaongezea kipato hawa matajiri au kipi? Mafuta ya taa yalipanda...
na Bakari Kimwanga
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema hadi sasa bado haijapata taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge kuhusu kujiuzulu kwa aliyekuwa mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM)...
Waungwana, nakumbuka katika lile sakata la rada tuliambiwa ile rada inafanya kazi za usalama, uwanja wa ndege na mambo ya hali ya hewa. Sasa mbona nakuwa kama sielewi? Someni hapa
Hussein Issa...
Kashfa ya kuhonga wabunge iundiwe tume
Tuesday, 19 July 2011 20:48
Mwananchi
TANGU kuibuliwa bungeni mjini Dodoma juzi kwa kashfa inayohusu Wizara ya Nishati na Madini ya kuwahonga...
Mkuu wangu JK, Meli yako inayoitwa Tanzania inaelekea iko kwenye mawimbi ya kati hadi mazito kidogo.
Kwa sisiwadau wako tunaona ni kwa sababu nahodha uliyemuachia usukani ukiwa katika ziara zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.