Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kufwatia hali mbaya ya uchumi inayolikabili taifa na mtu mmoja mmoja, na sababu kuu ya hali hii mbaya ikiwa ni umeme, namshauri jk azingatie yafwatayo: 1 uvumilivu wa watanzania je utaendelea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Malawi president calls for calm, 18 dead in protests BLANTYRE (Reuters) - At least 18 people have been killed in clashes between police and demonstrators during violent nationwide protests...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Ni kweli naamini masele au hata wapambe wake , hata akina Ridhiwan na Bashe waliomtuma aje kugombea halafu akashindwa vibaya naamini mmoja wenu yumo humu kwa kweli huyo ndugu mimi kama...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana kama kukosa umakini au kutokuwa na wasaidizi makini...Leo asubuhi mkuu wa kaya JK aligeuka kuwa MC katika sherehe za mashujaa pale Mtwara...JK alifanya kituko hiki pale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi Tumevumilia sana,Tumesubiri sana tumeonewa sana ,tumeteseka sana, Yote haya tumefanyiwa na serikali ambayo tunaiweka madarakani kwa matarajio kuwa itatusasidia ila hakuna msaada wowote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi naona Edward Lowassa kafungua njia kwa wabunge wa CCM kuzidi kumwagika kwa TB Joshua kuombewa. Leo kupitia Emmanuel TV inayomilikiwa na Synagogue Church la Nigeria nimemuona Mbunge wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
UTASIKIA HIVI : mbunge ansema hivi Naipongeza serikali kwa kazi nzuri iliyofanya ( mh spika )kuna watu leo wanabeza maendeleo kwa kutafuta umaarufu ; Kisha utamsikia ( Mh spika ) jimboni kwangu...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
migogoro mingi ndani ya cdm inayohusu madiwani hasa kwenye halmashauri za majiji ya arusha na mwanza ni kujihami kwa wabunge wa majimbo husika jf imebaini taarifa toka kwa wadau wa karibu mbunge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapenndwa wanaJF, natumaini mnaendelea vizuri na kazi za ujenzi wa taifa na mijadala mbalimbali iliyopamba moto kila kona ya mchi yetu juu ya masuala muhimu ya mustakabali wa taifa kama sio kabali...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
anaulizwa maswali simple mno kulingana ha hadhi aliyowahi kuipata
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ashauri serikali kupunguza matumizi haswa kwenye mafuta na safari zisizo na msingi . Fuatilia kipindi cha dakika45 sasa hivi
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari kutoka ndani ya vikao vya CCM zinasema kampeni ya CCM Igunga itaongozwa na Capt. mstaafu wa jeshi la wananchi wa Tanzania John Zephania Chiligati na Mwanasiasa kijana Nape Moses Nnauye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Familia ya Nyerere imesema tangu Mizengo Pinda achaguliwe kuwa waziri mkuu hajawahi kuitembelea familia hiyo wala kuzuru kaburi la hayati Baba wa Taifa. Akiwakaribisha madiwani wa manispaa ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu dogo kumbe mkali hivo! Wakati anachangi bajeti ya wizara ya kilimo, amesema kwamba serikali haiko makini kwenye kilimo, ile kauli ya kilimo ni uti wa mgongo imeshakufa, wakulima wamechoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naombeni kama kuna mtu anajua hilo anieleze,nimeona kikwete kaweka hiyo taarifa kwenye facebook yake, najua nyumba ya yule mzee pale bagamoyo ilivyochoka haionekani kama ni nyumba ya mkuu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wildlife Conservation Society of Tanzania(WCST) wanasema watamshauri raisi juu ya kujenga barabara ardhini huko serengeti. Ushauri wao ni wa uongo. Washauri wa kikwete kama ndio hawa tutegemee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu sana. Leo tena mkuu wetu wa nchi katika hali ambayo ni ya kizembe Kaaga na kushuka kwenye jukwaa akiwa amesahau kabisa kuwa Ameongozana na viongozi wenzake wa nchi. Alipofika...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Naona CDM wameanza kuvizia kuichukua iliyokuwa himaya ya Rostam. Nafikiri kati ya vitu ambavyo jamaa hawa waliwahi kuwaza au ku-foresee ni pale walipoamua kufanya ziara ya ujenzi wa chama mkoani...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
wadau msimamo wa mzee 6 mimi binafsi unanichanganya sielewi mzee huyu kama kweli anayoyasema anayatenda au hayatendi, naomba wataalamu wa mambo wanisaide kujua msimamo wa huyu bwana6.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom