Ongezeko la 40% kwenye mshahara liko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ongezeko la 40% kwenye mshahara liko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rugaijamu, Jul 19, 2011.

 1. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,831
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Wadau leo hii nimepata salary slip ya mwezi July,kamshahara kangu kameongezeka kidogo kwa kama 11.2%.,sasa sifahamu kuwa hili ni ongezeko la kawaida kwa mwaka au ndo lile ongezeko aliloahidi JK na kupigiliwa msumari bungeni na Bi Ghasia!Kama ndo ile ahadi basi haya ni masihara kwa watumishi wa umma,au mnaonaje wadau?
   
 2. A

  Aine JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Salary slip ya mwezi julai????????????? inamaana mshahara umetoka na umeshapata salary slip? is ti??
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu, ndio maana Ghasia hakupenda kuji-commit! Pia JK alipodai kwamba hata mgome miaka 8 hamtaongezewa mishahara hukumwelewa?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Leo ni tarehe 19 july imekaaje hii au uko kitengo cha kuandaa salary slip I mean mhasibu aka wazee wa kubania wenzao
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  wewe umeona payroll ambayo hutangulia kabla T.T ya mshahara haijaingia,..kubali ni typing error...ni kweli imeongezeka 10% tu kwenye basic salary
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Majungu FM
   
 7. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  serikali yenu sikivu ime cater for inflation
   
 8. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Huu ni wizi na ulaghai kwa wananchi,ni nani aliyetangaza kupanda kwa mshahara kwa hiyo 40percent kati ya waziri na magazeti?waziri aliweka fumbo tu ila gazeti la mwananchi ndo liliandika Mshahara juu kwa 40%.so muwe makini na mjue kuwa hela hakuna kabisa.
   
 9. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,831
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  mi si mmojawao,ila hata mi nimeshangaa kuipata wakati huu na tarehe inasomeka 31/07/2011!
   
 10. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,831
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu!ukweli ndo huo!sio typing error.
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  duh hiyo kali,..mshahara wengine bado kabisa
   
 12. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,831
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Nani sasa mimi au walioandaa hizo salary slip?
   
 13. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwani muajiri wako hajakuandika barua kukufahamisha juu ya mshahara mpya hadi upate Salary slip?
   
 14. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi nimeshaona muundo wa mishahara mipya. Hakuna ongezeko la zaidi ya 11%. In fact, mbaya zaidi walio na mishahara mikubwa wameendelea kuongezewa na walio na mishahara midogo wamepata kidogo zaidi. Sioni hata makubaliano yale tuliyoyasikia kati ya TUCTA na raisi yakifikiwa. Kitendo cha Hawa Ghasia kushindwa kutangaza kima cha chini, na kikija chini ya tulivyotarajia wengi kinaonyesha namna fulani ya viongozi wa TUCTA na serekali na kuacha wafanyakazi hewani.
   
 15. MAVUNO

  MAVUNO JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mi wameniongeza sh.22500 tu sijui ndo nini​
   
Loading...