Walichakachua Mafuta, Wakapata Faida, Sisi Twapata Adhabu ya Uchakachuaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walichakachua Mafuta, Wakapata Faida, Sisi Twapata Adhabu ya Uchakachuaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Juma. W, Jul 26, 2011.

 1. J

  Juma. W Senior Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa kweli hali ya maisha imekuwa ngumu sana. Mafuta ya taa shs 2040, petrol shs 2100, dizel shs 2100. Sijaelewa lengo lilikuwa kuwaongezea kipato hawa matajiri au kipi? Mafuta ya taa yalipanda mara tu bajeti iliposomwa, petrol dizel hazishuki. Sisi tunaumia sana, inachosha sana ndugu zangu.
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Huku kwetu,mafuta ya taa ni Tsh 2400 kwa lita,petroli na diseli ni 2500,...Haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania kwa ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi!
   
Loading...