Great thinker ......kweli nimeshangazwa na uchangiaji humu JF juu ya KATIBU mlikizo Mh..Jairo....! nimeshangazwa kwasababu nimeisoma ile barua mara ya kwanza....nikadhani labda nakosea,nimeirudia...
Ngeleja anazidi kutugawia giza badala ya kutupa umeme! kinachonishangaza katibu mkuu wa wizara anatuhumiwa kwa kukusanya pesa za kuwahoga wabunge ili wapitishe bajeti lakini eti Ngeleja yeye...
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba
Katika hatua nyingine; Jaji Warioba alisema kuwa kuna tatizo la baadhi ya viongozi kuogopa kutoa maamuzi magumu kwa kuogopa kulaumiwa.
Alisema kuna wakati...
Monday, 25 July 2011 08:47
Waandishi Wetu
MPANGO mkakati wa kujivua gamba kwa lengo la kurejesha uhai ndani ya CCM unaelekea kuwa bomu la maangamizo kwa chama hicho, baada ya baadhi ya...
Waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne na mbunge wa Monduli, Mh Edward Lowasa ameamua kuwaachia ccm yenyewe iamua hatima yake ndani ya chama hicho na wakati huo huo ameandaa watu wa...
Ndugu wanaJF,
Kwa jinsi serikali ya kikwete ilivyo legelege na inavyoongoza nchi hovyo hovyo, bado kuna watu wasio na haya wanaojitokeza hadharani na kumsifu. Binafsi nashawishika kuwaona watu...
Kama ni tarajio la cdm kufanya vema ktk uchaguzi ujao na hata chaguzi ndogo zinazojitokeza kama jimbo la igunga lililowazi kwa sasa,basi viongozi wa ngazi ya taifa msikurupuke kaeni na madiwani...
Huku mitaani wananchi wameduwazwa na udikiteta unaoendelezwa na uongozi wa juu ndani ya chama hicho.Wamekuwa wakijiuliza iweje kila jambo viongozi watake kulitolea uamuzi?.Wananchi hapa mtaani...
katika uuzaji wa shirika la usafiri dar es salaam UDA, shirika hili limebinafsishwa kwa kampuni ya Simon Group Limited kwa bei ya kutupwa ya shilingi milioni 285 badala ya shilingi bilioni 1.4...
*Mpendazoe asema walinadiwa na JK ni wachapakazi
Na Waandishi Wetu
KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Fred Mpendazoe amebeza hatua ya Chama Cha Mapinduzi kuwatosa makada...
Hii thread siyo ya siasa sana bali ni katika kueleimishana; ninarekebisha jambo mojawapo ambalo haliliweki vizuri miongoni mwetu. Kama kuna anayeweza kunyoosha zaidi maelezo yangu kwa kujaza...
Tumeonelea ni vema tukaurejesha tena mjadala huu kutokana na kuendelea kuyumba kwa usimamizi wa shughuli za kila siku Bungeni na hivyo kupelekea mizozo na kurushiana maneno kwa wabunge mara kwa...
TCRA pale Mawasiliano tower mmekodoa macho mnatazama tu na ninyi mnachekelea, nini athari za segment hii kauzu kuliko dagaa na matusi haya wanayoyaporomosha wasanii hawa wa ZE COMEDY wanaonekana...
Wakuu ningependa nishiriki na nyinyi hii kero kwa kipindi chochote ambacho nimeishi hapa duniani mimi mpaka umri huu hili suala la NISHATI YA UMEME limekuwa linaniumiza nimejiuliza ni kiasi gani...
Mengi vs Rostam NA wengineo. Hivi tumejifunza nini out of this saga kuhusus media ownership na responsibility in Tanzania?
Tuombe kuwa hiii itakuwa balanced view on this saga
naomba hii...
Emergency plant to ease power rationing
By JOHN MBALAMWEZI
Posted Sunday, July 24 2011 at 12:07
THEA EAST AFRICAN
Tanzania has turned to Swedish firm Siemens Energy for industrial gas turbines...
Tangu uongozi mpya wa Bavicha uingie madarakani naona kimya! Au ndo kujipanga? Maana magamba wanazunguka 2 mikoan! Heche vp? Au zilikuwa nguvu za soda! Peoples 2sisubiri mpaka uchaguzi maana...
Sunday, 24 July 2011 05:56
YABAINIKA JAIRO ALIHUSIKA MIAKA MIWILI, KAFULILA AWASHTAKI KWA JK
Neville Meena, Dodoma
Mwananchi
Nishati wafanya ufisadi kwa miaka minne
IMEBAINIKA uchotaji...
Kuna matukio mengi sana yanayofanywa na Rais na baadaye kubanika amekosea na inaelezwa kuwa kuna baadhi ya wasaidizi wake pale ikulu wanamfanya Rais wetu aonekane kituko na pengine kutoa matamshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.