Nahisi sasa yale maandamano ya Uarabuni yananukia huku kwetu

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,458
29,151
nimejaribu kwa muda mrefu kuangalia ni kwanini wenzetu wa urabuni na nchi nyingine wakaamua maandamano kama ndio njia kuu ya kudai chao, ukiangalia kwa umakini sana utagundua nchi zoote zile zina matatizo yanayofanana ingawa kwa ukubwa tofauti sasa na sisi tunaanza kufikia kwenye matatizo kama yao kwa mfano ukatili wa vyombo vya dola, udikteta wa viongozi na washirika wao kama alivyo M'kwere na jamaa zake, urithishanaji wa madaraka na mali za umma kama alivyo rizwan, nape, mwinyi, akina karume, akina mwapachu, akina nyerere, na watoto wengine wanaofikiri nchi hii ni ya kifalme kama vile wao peke yao ndo wamezaliwa kutuongoza, janga la umeme, tofauti ya kipato kati ya maskini na tajiri, kupanda kusikokoma kwa bei ya bidhaa pamoja na mafuta ya taa, na matatizo mengine kibao, nasikitika serikali itakua inajitahd wakati huo kutubembeleza tusiingie mitaani lakn itakua too late.
 
Back
Top Bottom