wasanii wanaweza kuelezea vizuri zaidi

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
habari wana jf

kama kuna thread inahusiana na hii cartoon naomba moderator uiunganishe.

mbali na hapo, hii ni nzuri kuanzia kufikiri ni jinsi gani ilivyo vigumu 'kujivua gamba' tofauti na wengi tulivyodhania hapo awali.

kazi njema wajameni!
 

Attachments

  • cartoon - ccm.jpg
    cartoon - ccm.jpg
    86.6 KB · Views: 33
Back
Top Bottom