Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani tokea hili bunge lianze nimekuwa nikiona spika, naibu au mwenyekiti, akiwa na kiu kubwa ya kuomba uthibitisho wa jambo fulani hasa lililotamkwa na wabunge wa upinzani. Wabunge wetu wamekuwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa nkasi kusini mh deogratias ameuliza je chakula kinakatazwa kuuzwa nje ya nchi sababu akuna uchaguzi wa siasa ama??hivi ninyi mnatuzuia kuuza vyakula nje ya nchi kungekuwa na uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ya kwetu baadhi yake ni pamoja na haya: Kwa mara yakwanza kuona jana wabunge wakijivisha vibwebwe na kuitolea radhi serikali ya Kikwete nahisi Kikwete anahitaji kusikiliza hoja za wapinzani...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Niukweli usio pingika kwamba watanzania ni lazima tubadilike la sivyo tutatengeneza matabaka ndani ya nchi yetu wenyewe tusipo kuwa makini!!!hayati baba wa taifa hili alijitahidi kupga vita...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Hivi haya maisha tunayapeleka wapi?...ndivyo tulivyoamua..haya ngoja twende tuone kama tutafika.. ''Mgawo wa umeme wafikia saa 18 kwa siku Monday, 25 July 2011 09:32 Daniel Mjema MAKALI ya...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Na Godfrey Ismaely, Dodoma MBUNGE wa Ole Rajab Mbarouk Mohammed (CUF), amemjia juu mbunge wa Geita, Bw. Donald Max (CCM) kwa kuifananisha Zanzibar na wilaya.Wakati akichangia hotuba ya Wizara ya...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Ndugu wanajamii. Napendekeza mwaka 2015 tuchague mfanya biashara maarufu mwenye mafanikio makubwa na sio mwenye jina kubwa lakini mikopo ya benki kibao. Brazil walimchagua mfanya biashara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
• Anna Abdallah, Kilango waishambulia bungeni na Tamali Vullu, Dodoma WABUNGE wa Chama cha Mapinduzi (CCM) juzi na jana waliicharukia serikali na watendaji wake kutokana na ufisadi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni radhi JF kuchelewa kuileta hii habari mapema hii ni sababu ya Ngeleja na miradi yake mkutano ulikuwa na watu wengi kutoka wilya zote za Mbeya ila ni 1/4 ya Ile ya CDM palepale uwanja wa...
2 Reactions
96 Replies
8K Views
Diwani wa ccm wilayani Mbinga ambaye pia ni mwenyekiti wa UVCCM wilayani humo amehukumiwa kwenda jela miaka 36 na kutakiwa kurudisha fedha kiasi cha mil 80 alichoiba katika kampuni ya kubangua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MADIWANI saba kati ya 11 wa Chadema jijini hapa wamegoma kujiuzulu nyadhifa zao au kuomba msamaha kama walivyotakiwa kufanya na uongozi wa juu wa chama hicho. Miongoni mwa waliogoma ni pamoja...
0 Reactions
214 Replies
18K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye Kuanzia Uchaguzi Mkuu mwaka jana, tumeshuhudia CCM kuiga mbinu za kampeni kutoka Chadema kama kutumia Chopper (helkopta)...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa mwelekeo huu wa nchi kuwa gizani na bila kuwa na uhakika wa lini patakucha ni bora tuigawe nchi maana watawala wetu wamekosa maono na kubakia watumwa wa Posho na Rushwa.Nashauri tuanze na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana jf kama kuna thread inahusiana na hii cartoon naomba moderator uiunganishe. mbali na hapo, hii ni nzuri kuanzia kufikiri ni jinsi gani ilivyo vigumu 'kujivua gamba' tofauti na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasikitisha sana Tz kugeuzwa dampo la bidhaa feki zilizokataliwa nchi nyingine shamba la bibi ambalo kila mjanja anakuja kuvuna na kuondoka tena kwa amani kabisa akipewa na ulinzi wa askari wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka uliposimama na kuishawishi serikali Kuongeza ushuru wa mafuta ya taa kwamba ndo solution ya tatizo la uchakachuaji,niwazi hukufikiri sana ushauri wako kwani Kama ungefanya utafiti kidogo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi kwa 2015, habari za kuaminika kutoka vyanzo visivyopenda kujulikana zinadai kuwa hawa jamaa sasa hivi hawaivi chungu kimoja. Ingawa mwaka 2005 walikuwa pamoja, inaaminika kuwa...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Wakuu ingawa mawasiliano na makamanda walioko field huko Tabora katika Operesheni Chukua Igunga (OCI), si mazuri sana, bado tumeweza kupata walau taarifa kidogo juu ya kinachoendelea. Taarifa...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
WANYOSHEANA VIDOLE KUMTAFUTA MCHAWI Ramadhan Semtawa na Joyce Mmasi Tuesday, 26 July 2011 KAULI tofauti zinazotolewa na viongozi wa Serikali, akiwamo Rais Jakaya Kikwete na baadhi ya mawaziri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chadema yamjibu Nape kuhusu nyaraka Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezikana nyaraka za siri zilizodaiwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom