Rais Gani Tanzania ataliliwa kama nyerere?

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Nakumbuka! Nyerere alipofariki,.. Wa2 wengi walibubujikw na machoz! Na huzuni ulitawala kila pande! Hi inatokana na matendo yake kwenye jamii. Sasa sijui kwa marais we2 hawa,.. Je? Wataliliwaje? Nawasilisha

Jeykey- katika utawala wake maisha ya watanzania wengi yamekua magumu kupita maelezo. Atakumbukwa kwa kushindwa kuleta "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" kama alivyo hubiri 2005.

hawa mafisadi tulionao wanaabudu mali na wala siyo utu kwa hiyo wakifa tutashukuru sana kwa kutupunguzia zigo la kuwabeba kwenye mafao kibao waliojirundikia kwa mujibi wa sheria za kibaguzi zenye kupendelea wao a kututekeleza siye wanyonge.................

Usije ukashangaa mafuso na mabasi yanaleta waliaji feki!!! Siku hizi si kuna waombolezaji wa kukodi???? Tatizo ni kuwa hawatalia ktk kila kona ya nchi kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Na umati si rahisi kufikia hata nusu ya ule hata wafanyeje.

Hili ndilo tatizo letu kubwa wanadamu,tunawaza tukifa watu watafanyaje
badala ya kuwaza kuta spend wapi eternity,....change your minds people,......

Watu watalia siku moja,mbili,tatu,....then what?

Hakuna mtu anaependwa na watu wote, akifa kuwa watu watamlilia na wengine watafurahi hicho kifo chake!

Hakuna mtu anaependwa na watu wote, akifa kuwa watu watamlilia na wengine watafurahi hicho kifo chake!

Hilo nalikubali ndugu yangu!!.. Ila kama umefuatilia vizuri, historia ya nyerere katika kuleta ukombozi wa Tanganyika.

Na ulipopatikana Amewafanya watanzania wote kuwa sawa! Amewaweka katika kundi moja, ingawa alionekana kuwakwaza baadh ya watu katika kipindi chake cha uongozi.. Ila kama asingefanya vile basi maskin wangekuw wengi sana.

Maana kuna wa2 walikuw tayar wametajirik na kujilimbikizia mali za kutosha na kuwa2mikisha wasio nazo kwa kipato cha chini.

Pia alifany viongoz wake kutokuw pande mbili za kipato yaani [uongozi na biashara]

Hii ilifanya pia uongoz wake kuwa bora.

Hili ndilo tatizo letu kubwa wanadamu,tunawaza tukifa watu watafanyaje

badala ya kuwaza kuta spend wapi eternity,....change your minds people,......

Watu watalia siku moja,mbili,tatu,....then what?

KWAHIYO WE M2 AKIFARIKI HUNA TIME NAE UNACHOWAZA NI UN-ENDING TIME!? ACHA MAWAZO FINYU.. M2 tunamkumbuka kwa mema yake ndo mana hata Yesu/mitume wake 2nawakumbuk kupitia vitabu kulingana na mema waliyoyafanya.. Sasa kama we kwako ni shida,..Nadhan we ndo utakuwa unatatizo kubwa.

Nyerere alitawala nchi na chama cha hatamu kwa miaka 29, si rahisi, na si haki kwa wengine, kumlinganisha na maraisi waliofuata kwa sababu Katiba sasa inakataza kutawala miaka lukuki kama aliyotawala Nyerere.

Nyerere alikuwa na miaka 29 ya kujaribu na kupatia na kushindwa na kurudia na kuchakachua, na kuzoewa na watu na kuliliwa.

Na bila kukosolewa na political pluralism.

Ukisikia watu wana zungumzia mambo ya jinsi hii ya vifo na yenye kufanana na hayo kwa watu walio hai maana yake wenye kuzungumziwa wamechokwa.

Napata huzuni kuona kwamba Rais Kikwete amepata wakati mgumu sana katika uongozi wake.!

Mie nililia kwa furaha na nna uhakika wengi walikuwa kama mimi!

Duh! Sijui Mwalimu alikukosea nini mpaka umchukie kiasi hiki!!!, lakini kwa taarifa yako Mwalimu alikuwa ni kiongozi bora sana tena sana kuliko Mwinyi, Mkapa na Kikwete na aliifanyia mengi Tanzania na matunda yake mpaka leo yapo ndani ya Tanzania na sehemu mbali mbali duniani.

Watanzania wengi pamoja na kuwa hatukupenda/hatupendi awamu za Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete kwa kuwa zilijaa/imejaa ufisadi lakini sidhani kama tutafurahia kama wewe ulivyofurahia alipofariki Mwalimu iwapo mmoja wa hawa niliowataja hapo juu atafariki dunia.

Back
Top Bottom