Mpendazoe kunguruma Shinyanga Mjini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpendazoe kunguruma Shinyanga Mjini!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JACADUOGO2., Jul 31, 2011.

1. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#1
Jul 31, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Mheshimiwa Kamanda Fred Mpendazoe, leo kuanzia saa 10 jioni atanguruma Shy town. Atazungumzia juu ya mustakabali wa taifa na mambo mengine mengi!

2. M

Mapujds JF-Expert Member

#2
Jul 31, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Haya kazana kutujuza kitakacho jili

3. n

ngwendu JF-Expert Member

#3
Jul 31, 2011
Joined: Jun 7, 2010
Messages: 1,967
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
mpendazoe ni raia wakawaida tu kama wewe. Ni mstakabali gani wa taifa anaoweza kutoa? pumba zingine bana. non sense thread.

4. J

Jenifa JF-Expert Member

#4
Jul 31, 2011
Joined: Oct 30, 2010
Messages: 603
Likes Received: 193
Trophy Points: 60
leo nilifungua thread kuandika chadema imewanyima pesa za kesi mpendazoe na wapiganaji wengine wa chadema ili waendeshe kesi za uchaguzi.

kesi nyingi zinakufa kwasababu hakuna pesa marando hana muda anshinda kuwatetea mafisadi akina jeetu.

moderator wameizuia kuitoa. kweli nimeanzima kuamini jf ni tawi la chadema.

waulizeni wagombea akina mpendazoe makao makuu chadema imewachangia kiasi gani.

kesi karibu zote zinakaribia kufutwa. thread hiyo ina ubaya gani mpaka muzuie kuitoa.

5. Laurence

Laurence JF-Expert Member

#5
Jul 31, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 3,106
Likes Received: 37
Trophy Points: 145

Ckujua dhamira yako awali,now nime recognize ua needs

6. Ritz

Ritz JF-Expert Member

#6
Jul 31, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 42,252
Likes Received: 4,673
Trophy Points: 280
Huyu jamaa Mpendazoe anaangaika sana jamani kutafuta ubunge kaona akajipange nyumbani shinyanga! Dar es Slaam imekuwa ngumu!

7. Wambandwa

Wambandwa JF-Expert Member

#7
Jul 31, 2011
Joined: Dec 3, 2006
Messages: 2,240
Likes Received: 337
Trophy Points: 180

Jeny, CDM does'nt operate on cash basis kama ulivyo wewe na ritz1 (an outlaw child) wa salma.

8. w

woyowoyo Senior Member

#8
Jul 31, 2011
Joined: Jul 24, 2011
Messages: 173
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
mpendazoe mbona kaisha kaoza

9. M

Malunde-Malundi JF-Expert Member

#9
Jul 31, 2011
Joined: Jan 10, 2008
Messages: 1,287
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wewe ndiye umeoza maana bei uako chee unanunulika na uko tayari kwa lolote ali mradi mkono kinywa unatetea uvundo hata aibu hamna

10. J

Jenifa JF-Expert Member

#10
Jul 31, 2011
Joined: Oct 30, 2010
Messages: 603
Likes Received: 193
Trophy Points: 60
sasa kesi zifutwe kwasababu mmeshindwa kuchangia milioni chache za kesi. pia wanasema mgombea wenu wa shinyanga alikufa presha baada ya makao makuu kukataa kumchangia pesa.

kesi zenyewe sio nyingi. toeni pesa wana magwanda wapate haki yao mahakamani.

mnaweza kulipia magali mabovu ya mbowe na kumlipa slaa mamilioni bila kodi lakini kuwasaidia akina mpendazoe mnashindwa.

acheni roho mbaya komu wa makao makuu.

pia mnawatukana akina jeetu. wakati huo huo jasusi marando anawatetea mahakamani. kweli hata pesa ya fisadi nayo tamu.

moderators acheni kufuta threads kwasababu tu ya chadema. hapo matusi yako wapi mpaka mmeamua kuibeba kapuni thread yabgu.

11. J

Jenifa JF-Expert Member

#11
Jul 31, 2011
Joined: Oct 30, 2010
Messages: 603
Likes Received: 193
Trophy Points: 60
kesi yake inakufa dar hana pesa za kulipa. wacha akajaribu kwao. wajanja akina sitta walimwingiza choo cha kike. pole mkaka mpendazoe siku nyingine akili yako changanya na ya kuambiwa.

12. Du Bois ideas

Du Bois ideas JF-Expert Member

#12
Jul 31, 2011
Joined: Feb 1, 2011
Messages: 428
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mpendazoe bado kifaa kaka

13. Kurunzi

Kurunzi JF-Expert Member

#13
Jul 31, 2011
Joined: Jul 31, 2009
Messages: 4,006
Likes Received: 328
Trophy Points: 180

Mkuu, mambo ya kesi yapo mahakamani na ninavyojua ya mpendazoe inaendelea vema sasa kama thread ilikuwa ni uzushi

14. Geza Ulole

Geza Ulole JF-Expert Member

#14
Aug 1, 2011
Joined: Oct 31, 2009
Messages: 11,067
Likes Received: 3,999
Trophy Points: 280
huu umbumbu wako na kutojua miiko na maadili ya sheria usituletee uchuro hapa! Marando anapowatetea wakina Jeetu anatumia kofia yake kama mwanaseria na misingi ya sheria inavyosema yaani hata mwizi anahaki ya kutetewa!

15. j

join9527 Member

#15
Aug 1, 2011
Joined: Jul 13, 2011
Messages: 19
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
thread hiyo ina ubaya gani mpaka muzuie kuitoa.

[​IMG][​IMG]
[​IMG][​IMG]
[​IMG]

16. J

Jenifa JF-Expert Member

#16
Aug 1, 2011
Joined: Oct 30, 2010
Messages: 603
Likes Received: 193
Trophy Points: 60
kama na wewe huna moral compass kama huyo jasusi marando huwezi kuona ubaya wake birds of a feather flock together

17. W

WAMURUBHERE JF-Expert Member

#17
Aug 1, 2011
Joined: Apr 21, 2010
Messages: 337
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
kesi ya mpendazoe mbona inaendelea na ilipangwa kusikilizwa hoja za awali trh 27 july?

18. S

SEAL Team 6 JF-Expert Member

#18
Aug 1, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 655
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ni raia wa kawaida anaweza kuongelea sakata la bahasha ya JAIRO na madhara yake kwa taifa, kama alivyo wakomoa waanzilishi wa CCJ na kifo chake.

19. by default

by default JF-Expert Member

#19
Aug 1, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 843
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
[QUOTEJenifa;2298425]leo nilifungua thread kuandika chadema imewanyima pesa za kesi mpendazoe na wapiganaji wengine wa chadema ili waendeshe kesi za uchaguzi.

kesi nyingi zinakufa kwasababu hakuna pesa marando hana muda anshinda kuwatetea mafisadi akina jeetu.

moderator wameizuia kuitoa. kweli nimeanzima kuamini jf ni tawi la chadema.

waulizeni wagombea akina mpendazoe makao makuu chadema imewachangia kiasi gani.

kesi karibu zote zinakaribia kufutwa. thread hiyo ina ubaya gani mpaka muzuie kuitoa.[/QUOTE]

we pimbi wa mawazo kama ujaolewa sema basi kama unatafuta bwana! Acha kuropoka kesi ya mpendazoe ipo mahakaman kila mara uwa anatupatia update jinsi inavyoendlea last week alifanya mkutano tabata liwiti 24.07.2011 wanachama wa cdm walikuwa nyoni na uhu ulikuwa mkutano wake wa pili tangu alipopokonywa ushindi na fisadi makongoro.people poweer.

Loading...