Meya manispaa ya Songea afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya manispaa ya Songea afariki dunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magarinza, Jul 30, 2011.

1. M

Magarinza Senior Member

#1
Jul 30, 2011
Joined: May 9, 2008
Messages: 122
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Nimepata taarifa ya kuwa meya wa manispaa ya Songea na diwani wa kata ya Rizabon CCM kafa. Ila nimeshangaa jinsi watu walivyofurahia kwa kuwa kutakuwa na uchaguzi mdogo..

2. H

Handsome Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Jul 5, 2011
Messages: 87
Likes Received: 1
Trophy Points: 0

toa upuuzi wako hapa,kuwa na akili timamu,watu wamefurahia ulifanya tafiti gani??tuache ushabiki kwa mambo ya msingi,mtu kafa hata condolence hakuna,tatizo huja jamii forum big no.cdm,uupuzi mkubwa huu

3. H

Handsome Member

#3
Jul 30, 2011
Joined: Jul 5, 2011
Messages: 87
Likes Received: 1
Trophy Points: 0

4. H

Handsome Member

#4
Jul 30, 2011
Joined: Jul 5, 2011
Messages: 87
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
upuuzi mtupu huu,acheni ujinga,hata condolence ttzo big no.humu ni cdm hawana hata sympathy kwa wafiwa wanawaza nani ata replace subiri muda utafiki,epuka tamaaa ninyi till 2045 ndio may be mtapata ridhaa ya kuongoza nchi bado hamjakomaa,achenoi ushabiki wa kijinga,

5. The Son of Man

The Son of Man JF-Expert Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: Feb 9, 2010
Messages: 12,124
Likes Received: 1,709
Trophy Points: 280
Tumwombee apumzike kwa amani!

6. jogi

jogi JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 19,335
Likes Received: 12,801
Trophy Points: 280

jifunze kuelewa, mtoa mada amesema naye anashangaa watu kufurahia, punguza jazba, wewe toa pole kwa wafiwa, muombee marehem, ukiweza mlilie, ila usilazimishe hisia zako zifuatwe, pia usilete kisingizio cha uungwana, ustaarabu, utanzania n.k MUNGU AMZAWADIE MAREHEMU ZAWADI ALIYOMPANGIA. AMEN

7. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,585
Likes Received: 5,771
Trophy Points: 280
Mngekuwa wastaarabu kuacha matusi kumuenzi mareehemu hata kama watu kadhaa wamekosea
mba rikiwe

8. kinya

kinya JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Feb 20, 2009
Messages: 483
Likes Received: 23
Trophy Points: 35
ndugu generalisation ya namna hii si nzuri kama yy ccm ila huyo aliyekufa mungu amrehemu si gamba mwenzao itakuwaje.CDM KWELI IMEWASHIKA WALIO WENGI KILA OVU/BAYA MWATAKA WAO NDO WAONEKANE NDO WAKOSAJI TUPAMBANE KWA HOJA SI VIOJA

9. mashikolomageni

mashikolomageni JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Jan 5, 2010
Messages: 1,565
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Tujifunze tafsida za kiswahili Meya wa Songea amefariki siyo kafa

10. Speaker

Speaker JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: Aug 12, 2010
Messages: 6,357
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Binafsi hua siamini katika kuombea marehemu,
naamini katika kumshauri mtu aombe sana akiwa hai

Nawapa pole wafiwa wote na Mungu awape uvumilivu

11. Speaker

Speaker JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Aug 12, 2010
Messages: 6,357
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Abda katolewa uhai na sio natural death

12. Mungi

Mungi JF Gold Member

#12
Jul 30, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,986
Likes Received: 445
Trophy Points: 180
RIP,

nafurahi kata iko wazi

13. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#13
Jul 30, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 359
Trophy Points: 180
Hujamwelewa mtoa hoja kasema watu wamefurahi kwani kasema ni watu gani inawezekana wanaCCM wenyewe kwa wenyewe walikuwa na bifu zao, usiwe una-judge mambo kwa kutumia hisia. Poleni wafiwa na poleni wana CCM wa Songea.

14. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#14
Jul 30, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

acha jazba unastukastuka Kishamba kufa ni nafasi kipindi hiki cha mashindano,tunaweka mtu hapo maramoja!

15. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#15
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Meya wa Songea APUMZIKE KWA AMANI.

16. Lyceum

Lyceum JF-Expert Member

#16
Jul 30, 2011
Joined: Oct 1, 2009
Messages: 915
Likes Received: 265
Trophy Points: 80

Sasa mkuu Cdm inaingiaje hapo kama sio zomea zisizo na mantiki? Jenga hoja mkuu achana na majinamizi ya kifikra

17. S

Smafuru Member

#17
Jul 30, 2011
Joined: Jul 25, 2011
Messages: 37
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Mungu ailaze roho mahali pema peponi..amen !

18. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#18
Jul 31, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,519
Likes Received: 19,942
Trophy Points: 280
Rip..........................

19. Arvin sloane

Arvin sloane JF-Expert Member

#19
Jul 31, 2011
Joined: Jul 18, 2011
Messages: 963
Likes Received: 36
Trophy Points: 45
marehemu wapumzike kwa amani.

20. S

Smafuru Member

#20
Jul 31, 2011
Joined: Jul 25, 2011
Messages: 37
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Kuna hili laonekana kwa wana JF : Kwanza tumepata taarifa ya msiba,cha pili msiba unamuhusu mwanasiasa,cha tatu hapa tunatakiwa ku'mourn' na mwisho cha nne ni kuiongelea kata ya uchaguzi...tofauti yake naona vipengele 1,2,3 vinalukwa then preference inaenda ktk 4.Hey ! ndicho chatupasa ?

Loading...