EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Akizumgumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kurejesha fomu hizo katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Katibu wa Baraza la Wadhamini wa CHADEMA, Antony Komu, alisema fedha hizo zimejumuisha gharama zote walizotumia wagombea wa ngazi zote kuanzia urais, wabunge na madiwani.
Komu alisema fedha hizo (bilioni 5.3) zilitumiwa na chama hicho katika mchakato wa kuwatafuta wagombea, kampeni mpaka uchaguzi mkuu. Akiainisha namna fedha hizo zilivyotumiwa, Komu alisema mgombea urais peke yake alitumia shilingi bilioni 1.3, wagombea ubunge shilingi bilioni 1.7 wakati wagombea udiwani walitumia shilingi bilioni 2.3.
................Jana ilikuwa siku ya mwisho kurudisha fomu, CCM vipi mbona hawaweki hadharani lazima itakuwa bilioni mia kadhaa................