James Mbatia na Siasa za maji-taka

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku akitumia maneno kama "wanapandikiza chuki". Bila kutaja ni chuki gani wala kutaja ni wabunge gani hao, Mbatia, aliyepewa air time ya kutosha na TBC kwa ajili ya kumwaga upupu huo hakuwa na la maana la kuzungumza zaidi ya kuishia kulalamika na kukashifu.

my take:

Tumekusikia bwana mbatia; hao unaowaona hawafai sisi ndiyo tunawataka na tutaendelea kuwachagua daima kwa sababu hawana mabo ya kishosti-shosti.
 
Alikuwa anawasema Wabunge wa Chadema? Mbona kuna wa chama chake ambao wako beneti na Chadema Bungeni katika kuibana CCM kuhusu udhalimu na ukandamizaji wake? huyu mtu vipi?

Kweli, hasira za kushuka umaarufu unaleta vituko.
 
Siasa za Mhe Mbatia tunazozifahamu hazina tofauti na za wajomba zake CDM. Ni mwanasiasa uchwara km wenzake wa CDM. Kuna kipindi alisikika akisema 'damu itamwagika'.

Ni mabadiliko makubwa kama atakuwa ameng'amua kwamba CDM wanapandikiza mbegu za chuki miongoni mwa Wa tz.
 
Nadhani wale majamaa (SCANDAL KUU ANAYOSHINDWA KUIKANUSHA) walio mdonyoa sasa ni wanachama hai wa CHADEMA ndio maana sioni ajabu haeleweki yeye ni kambi ya upinzani au ni kutoka chama tawala,huyu analeta personal issues.
 
siongezi neno
 
Jamaa anaganga njaa ndo maana anaropokaropoka ili ccm wamfikirie.. Hata mzee Rungwe huwa anashangazwa na upupu wa kauli za Mbatia.
 
Huyu si chama kinamfia? anatapatapa na ni kawaida ya mfa maji.
 
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku akitumia maneno kama "wanapandikiza chuki". Bila kutaja ni chuki gani wala kutaja ni wabunge gani hao, Mbatia, aliyepewa air time ya kutosha na TBC kwa ajili ya kumwaga upupu huo hakuwa na la maana la kuzungumza zaidi ya kuishia kulalamika na kukashifu.

my take:

Tumekusikia bwana mbatia; hao unaowaona hawafai sisi ndiyo tunawataka na tutaendelea kuwachagua daima kwa sababu hawana mabo ya kishosti-shosti.
Bado anahasira na za kushindwa uchaguzi katika jimbo la KAWE na mpiganaji Halima Mdee. Isitoshe chama chao ni chama cha MANUNUZI, hivyo hatushangai kuongea hivyo yawezekana KANUNUA.
 
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku akitumia maneno kama "wanapandikiza chuki". Bila kutaja ni chuki gani wala kutaja ni wabunge gani hao, Mbatia, aliyepewa air time ya kutosha na TBC kwa ajili ya kumwaga upupu huo hakuwa na la maana la kuzungumza zaidi ya kuishia kulalamika na kukashifu.

my take:

Tumekusikia bwana mbatia; hao unaowaona hawafai sisi ndiyo tunawataka na tutaendelea kuwachagua daima kwa sababu hawana mabo ya kishosti-shosti.

Huyu hamjui kuwa ni usalama wa Taifa tangu Chuo Kikuu alikuwa mvurugaji wa mipango. Sasa amepandikizwa kuvuruga upinzani
 
Alikuwa anawasema Wabunge wa Chadema? Mbona kuna wa chama chake ambao wako beneti na Chadema Bungeni katika kuibana CCM kuhusu udhalimu na ukandamizaji wake? huyu mtu vipi?

Kweli, hasira za kushuka umaarufu unaleta vituko.

Anawarahisishia njia wale vijana(Machali,Mkosamali & Kafulila) warudi kwenye Chama cho(CHADEMA) Kwani kule wapo uhamishoni.
 
Mbatia kwishney kisiasa. Huyu ni pandikizi jingine la magamba kama alivyo Lyatonga. Msikiwasikilize hawa mamluki.
 
Siasa za Mhe Mbatia tunazozifahamu hazina tofauti na za wajomba zake CDM. Ni mwanasiasa uchwara km wenzake wa CDM. Kuna kipindi alisikika akisema 'damu itamwagika'.

Ni mabadiliko makubwa kama atakuwa ameng'amua kwamba CDM wanapandikiza mbegu za chuki miongoni mwa Wa tz.

Kuvuana magamba,bajeti kukwamishwa,kuchakachua matokeo ya uchaguzi,mtifuano bungeni,wananchi kuelimishwa mambo mbalimbali ya nchi,serikali kuwajibishwa n.k. VYOTE HIVI NI KWA SABABU YA CHADEMA.Hali hii bado unawaita Chadema majina ya ajabuajabu! Ushindwe na ulegeee.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom