Billion 9.9 kwa ajili ya matanuzi ya Viongozi na Wastaafu wa Zanzibar!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Billion 9.9 kwa ajili ya matanuzi ya Viongozi na Wastaafu wa Zanzibar!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Jul 31, 2011.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,745
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  ..jamani hivi huu si mzigo mzito sana kuwatwisha wananchi wa Zanzibar?

  ..halafu baadhi ya wanaonufaika na ubadhirifu huu tayari wanatambulika kama viongozi, au wastaafu, katika serikali ya muungano.

  ..wakati huo huo tunaambiwa hospitali kuu ya Mnazi Mmoja haina kifaa cha Ultrasound kwa sababu ya ukata wa pesa wakati viongozi wametengewa mabilioni.

  ..habari hii nimeipata gazeti la Nipashe.


   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Wana mafuta mkuu kwa hiyo Tsh. billioni 9.9 siyo kitu au umesahau? Labda hiyo billioni 9.9 iwe kwa dollar ndiyo itaweza kuwapa taabu...
   
Loading...