Hongera kwa JK zasababisha Bushoke kuzomewa tamasha la Fiesta

mafinga kwetu

Member
Nov 21, 2010
35
3
Nilishindwa kuamini jinsi msanii bushoke alipozomewa na kuonyeshwa ishara za kuwa atoke jukwaani baada ya kutoa pongezi kwa Kikwete.

Jamaa alipaniki mpaka akasahau hata kuchukua tuzo aliyotunukiwa na clouds kwa ajili ya ushiriki wa fiesta.

Kweli hali ni mbaya.
 
Unaweza kutuambia alimpongeza kwa kitu gani alichofanya?Maybe there is something we dont know.Tupe habari pongezi zilikuwa za nini.
 
gud!watz hawapend upuuz tena haswa wana wa mjin wanapata news na wenye upeo huwez sifia sifia m2 kiholela kutafuta matonge wa2 2napata kdogo 2najilia starehe wewe unaleta siasa jukwaan!na mwngne mwenye kuthan wananch n kama wabunge la chama waopiga makof kila jk atamkwapo wajue n huko ndan bt kitaan hata mda ha2na
 
acha kutoumiza kichwa watu wa mjini ndo wanaongoza kwa ukilaza hasa dar es salaam
 
nchi ikiwa na vichaa kama bushoke ni aibu maana hawajaui hatata upepo unavuma kuelekea wapi subiri utaona aibu watakayoipata
 
Acha azomewe. Kama alitaka kumpongeza si angempigia simu ampe hongera zake. Aliungana na Clouds eeh? fiesta ilikua jukwaa la wanafiki wa Radio ya Wafu (Namnukuu Mh. Sugu). Huyo si ndo alikua analalamika kifungo cha kina Seya waliofungwa kpnd cha utawala wa Vasco Da Gama, sasa leo hii kakumbuka nini?
Kweli mibongo ndivyo tulivyo!!!
 
wanajikomba wapewe vyeo ama alikuwa anajaribu kupima upepo nini? isije ikawa clauds wanatumia jukwaa la fiesta kufanya kampeni za chinichini juu ya CCM. Labda wanadhani umati wote ule unamapenzi na CCM.
 
The grand politics spread to no where one wanted it to go ''fiesta''? teeeh...teeh real, life is tough and no way out other than CCM and Kikwete.!Is it because of an empty pocket to our young fiesta gathering or we need regime change to survive period?.

''Poverty is the mother of Sin''
 
Jamani sio bushoke tu wasanii wengi hawa njaa tupu wanajikomba kwa magamba, du alivyozomewa walimkomesha sana. amani wakati umaskini umetawala nchi nzima. wtz tuamke na tuwapige mawe watu jamii za kina bushoke na walioandaa fiesta wote.
 
Nilishindwa kuamini jinsi msanii bushoke alipozomewa na kuonyeshwa ishara za kuwa atoke jukwaani baada ya kutoa pongezi kwa Kikwete.

Jamaa alipaniki mpaka akasahau hata kuchukua tuzo aliyotunukiwa na clouds kwa ajili ya ushiriki wa fiesta.

Kweli hali ni mbaya.

alitaka kupima upepo.

labda sasa hao cloudis inabidi wawe wanatangaza kabisa kuwa fiesta ni tamasha la wana-ccm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom