Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by analysti, Jul 30, 2011.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 634
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Mdahalo ndo unaanza wana JF katika ukumbi wa St Gasper, Wazungumzaji wakuu ni Tundu Lisu na Naibu spika Job Ndugai. Karibuni Tufuatilie
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,571
  Likes Received: 4,115
  Trophy Points: 280
  hatimaye muda umewadia na ndugai kaingia ukumbini.
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,098
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Shukrani kwa taarifa mkuu.

  Keep us updated kwa kinachoongelewa
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,433
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  invisible imekuaje no umeme au?
   
 5. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,915
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Jicho limenitoka ka 'Ngumi ya Jambazi' nafuatilia mdahalo kwa makini. Asante Mkuu!
   
 6. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupeni data wakuu
   
 7. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali la kwanza, kwanini Bunge inasemekana limeshuka hadhi, Ndugai anajibu kwa kuanza na shukrani kama kawa.
   
 8. g

  gkalunde Senior Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugai sasa anazungumza.
   
 9. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ndugai anasimama kujibu swali kuwa bunge la safari hii limeshuka hadhi,je ni kweli?
   
 10. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugai: Bunge lingekuwa limelala watz wangelalamika. Hvyo ni vyema limechangamka. Kazi za viongozi wa Bunge ni kuongoza mijadala vizuri.
   
 11. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu kwa taarifa nimeanza kumshuhudia huyu naibu spika sasa naomba Mungu2 umeme usikatike.
   
 12. M

  Mmbwanga Member

  #12
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugai amaeharibu kwa kuanza kuwa defensive. Wrong tactic
   
 13. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  anajibu bunge limechangamka sana na wao kama refa ni lazima wabalance kotekote,wao kama bunge wanatakiwa kuisimamia serikali na si kama wengine wanavyoitukana na kuikashifu serilikari ila muda bado upo watajifunza na kuelewa.
   
 14. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugai: Asema Bunge, Mahakama na Serikali ni sawa, hvyo si vyema wabunge kukejeli, ku2mia lugha kali dhidi ya Serikali. Asema jinsi wanavyoendelea mambo yatakuwa mazuri na mijadala itakuwa mizuri.
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,822
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  haya sasa Ndugai anasema bunge limechangamka!watu wametumwa kuwakilisha matatizo ya wananchi ndio maana lzm wawe wakali sio kulala tu! mh
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,968
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wadau! Hapa Arusha Startv haionekani kabisa! Cjui ni mbinu ya chama cha magamba mi cjui. Ama ni hii TV yangu ndiyo mbovu?
   
 17. M

  Mmbwanga Member

  #17
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge la vyama vingi mahala popote duniani ni bunge la mivutano sana..TL
   
 18. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 1,729
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Tundu Lissu ndo anaongea:

   
 19. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LISSU: Bunge la vyama vingi, popote Duniani ni bunge la mivutano na kelele kwa sababu wanawakilisha maslahi tofauti. Watz watazoea, kwani hawajafikia kurushiana ngumi.
   
 20. M

  Mmbwanga Member

  #20
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hichi tunachokiona tutakizoea..TL
   
Loading...