Makala hii katika The African ya leo ni kiboko

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wanajamvi:


Nimeonelea ni vyema mkasoma makala hii iliyotoka katika gazeti la The African la leo na nafikiri ni mojawapo ya makala nzuri za mwandishi Hilal Sued.


Namkumbuka mwandishi huyu tangu zama za Family Mirror katika miaka ya 90 ambaye makala zake pamoja zile za Stanley Kamana (RIP), Prof Issa Shivji na Anthony Ngaiza ndizo zilikuwa za mwanzo kabisa katika kuwafumbua macho wananchi wakati wa kipindi kile cha ujio wa vyama vingi.

Msisitizo wangu ni sehemu nilizo-highlight. Ni hakika kabisa alichokisema Lukuvi ni pumba tupu kwani amani, bila misingi madhubuti ya haki, ni kitu kisichowezekana, hata ukiimba ‘amani' hadi sauti ikakukauka, hata ikiwa misikitini na makanisani. Haki huzaa na kuendeleza amani.



--------------



Lukuvi, show us the ‘strong pillars' of justice that prop up our peace

By Hilal K. sued

I have decided to make my headline this week a poser somewhat, well aware that there would be no concrete response – examples of the ‘strong pillars' I am referring to.

Winston Churchill, British World War 11 Prime Minister once said: "The whole history of the world is summed up in the fact that, when nations are strong, they are not always just, and when they wish to be just, they are no longer strong."

It's a stark dilemma for mankind and provides valid depiction of what could be happening at the moment – the disappearance of a just world. It's also a grim reminder that justice is inseparable to peace – as it is always its proud creation.

For the fallible mankind it is a difficult objective to attain, its inputs are hard to slot in because in its majestic equality, justice discards party, friendship, kindred, and is therefore always represented as blind. Is the CCM government embracing that? I say NO.

Martin Luther King Jr, the American civil rights activist likened justice to "light" and "love" when he said, "Darkness cannot drive out darkness; only light can do that. Hate cannot drive out hate; only love can do that."

In other words there is no virtue as truly great and godlike as justice. And when we talk about individual nations and their systems of governance, justice is a hub from which other virtues spread out, the most important of which are peace and tranquility.

Granted, you can have peace without justice, but that peace is deceptive, and essentially perilous. Such kind of peace is the one that is ranted by politicians at rostrums or eulogized via sermons in places of worship – all aim to push agendas of certain groups of people.

This ‘peace' is bogus as it is not built upon robust concrete foundations, with justice as its principal cornerstone. And this is the message heard from Parliament last week though from a chaotic setting.

It was when the august House became a scene of altercation, both verbal and physical among various participants. At times order in the House was cast to the four winds as speakers shouted at one another, arguing, among other things over some points of order ("mwongozo").

My personal appraisal of the situation is that our Parliament has reached a very crucial milestone in its history – it's trying to unpeel itself for a new beginning. In other words some members are pushing it to discard its former traditional role of rubberstamping whatever the Government wants or says, and adopt a new one – listening to what the electorate wants or says. That is my observation; all other talk is just that – talk.

In fact the new breed of MPs in the House (though few in number but noisy) are set to go down the country's history books as the ones who brought the second liberation of the country -- right from the legislative chamber.

But traditions die hard and therefore the metamorphosis has to encounter bitter opposition. The few who have had it too good for too long are not ready to give up easily.

Many of these hardly bother to what happens to the poverty blighting the majority of wananchi. Some of these leaders are so sated by the daintiness provided by the gravy train they are travelling in that they even elect to take a nap during deliberations in the House. Yes – I'm talking about CCM MPs, in particular their ministers.

And if they are not doing this, they boo at whatever an opposition MP says that appears to hit the nail squarely on its head. I sometimes get amazed at the Speakers' blatant bias -- why he/she finds this kind of behaviour from CCM MPs tolerable but becomes fast to admonish or even throw out opposition MPs on flimsy issues arising from the ‘mwongozo' fixation.

As already stated the majority of the establishment's heavyweights do not want the status quo changed. One of them is William Lukuvi, the minister in PM's Office, who must have fascinated many wananchi over his definition of ‘peace' and ‘justice.'

On Thursday William Lukuvi asked for "mwongozo" from the Deputy Speaker. It was promptly given and used the opportunity to blast the earlier speech given by Godbless Lema, Opposition's Shadow Minister on budgetary estimates of the Home Affairs Ministry.

I have no immediate qualms with the House Deputy Speaker for promptly acceding to Lukuvi's ‘mwongozo' which he (Lukuvi) instead used to castigate Lema's speech. I'm reserving that for another day.

However I was jolted by Lukuvi's sense of confidence and finality on what he said. Momentarily he became prosecutor and magistrate all rolled in one and issued a verdict that Lema's speech was full of incitement that is designed to breach the country's peace.

He went further – that over the years this country's current peace has been built from strong foundations of justice and therefore "we cannot allow some people to breach it."

As stated earlier such words are being uttered every now and then at rostrums by government leaders and politicians from the ruling party – CCM. They are just that – words.

How is he to be reminded that the principles of justice that held Tanzania's peace collapsed with Mwalimu Julius Nyerere's administration? Can't he see that the country is managed by the happy-go-lucky disciples who only pay lip service to the wananchi's plight and instead embrace the so called moneyed ‘investors?'

Imagine this: After any rostrum rave about the peace found in the country, just try to take the speech giver aside and engage him to a serious argument by demanding him to show you the foundations that prop up the peace he was talking about. You will draw blank.

Lema's speech was full of facts and examples on why the country's peace lacks robust prop ups. It was one of the finest to be given in the House as far as I can recall, as it had nothing in it that was untrue. It was audacious and to the point – calling a spade by its very name. No doubt that is why CCM people did not like – calling a spade a spade.

It came at the opportune time – directed to the people who are entrusted with the keeping of law and order – the police, whose 2011/12 budget estimates had been presented. In recent months, the police force has occupied front page headlines due to its trigger-happy cops.

In his speech Lema said according a report filed by the Legal and Human Rights Centre (LHRC), a total of 21 people were gunned down by the police in the five months of this year. The LHRC report also said a total of 52 people were killed in similar fashion in 2010.

Surely these incidents cannot just be swept under the carpet as the CCM government would like to so that it continues to rant about peace. The LHRC report has not been contested by the Government, including Mr Lukuvi, as untrue or inciting.

Lema correctly invoked Elie Wiesel's quote, the Jewish philosopher who said even though people may be powerless to prevent injustice, but can they even be powerless to protest the vice?

Right now, newspapers are saturated with headlines about the ejection of MPs from the legislative chamber, and not Lema's finest, down-to-earth speech in the House. Probably that is what the ruling party had been gunning for in the face of the authenticity of the situation given in the speech.

Personally, I count this as another attempt by the establishment to sweep its ills under the carpet, instead of taking up the challenge. For if you have nothing to hide, then you have nothing to fear."


ends
 
Nimeisoma makala hiyo na nakubali ni one of his finest opinion article ya mwandishi Sued. hasa kabisa nakubaliana naye na paragraph ile inayosema kwamba yanayotokea sasa hivi Bungeni ni kama kujivua gamba kwa hilo Bunge. Ni kweli kwamba Bunge lilikuwa ni mhuri tu wa serikali iliypopo madarakani na hali hii ndiyo inafanya hali ya nchi kuzorota.

Ni lazima Bunge libadilike, na kwa kuwa gamba limeota sugu kwa muda mrefu, pengine hakuna njia nmyingine isipokuwa hii wanayofanya kina Lema, Wenje & Co. Wananchi wanawaona, wanawasikia na wanawasapoti. Lukuvi analeta siasa zile za kizamani za kuburuzana tu ambazo hazina hoja kabisa kwa wakati uliopo.

Kwa mfano kusema kwamba aliyosema Lema ni uchochezi huku hata AG alikiri kuwa mauaji yanayofanywa na polisi sasa yanazidi na inapaswa kuchunguzwa ni onyesho tosha kwamba Lukuvi ndiyo mchochezi, anataka hali hii ya kutoa roho za Watz unaoifanywa na vyombo vyetu vya usalama iendelee. Sijui akapimwe akili!

.
 
Sasa watawala wasipoongelea amani wataongelea nini??? Ni nani wa CCM atakayeweza kuongea kitu kikubwa kilichofanyiaka bila kutaja amani. Atleast ndio kitu kinaonekana kwa macho ya juu juu ila nayo ukiangalia kwa ndani zaidi hakuna amani. Hawa jamaa walijua kilichoandikwa kwenye hotuba ya upinzani siku nyingi na wakatafuta njia ya kuiponda maana walijua mengi yaliyoandikwa mule CHADEMA wanao ushahidi na ndio maana hakuna hata mtu mmoja aliyeomba mwongozo wa kuwataka wathibitishe yanyosemwa maana hapo ndo ingekuwa kuiweka serikali uchi. Walichokiona kinafaa ni kuiponda kisiasa kama Lukuvi alivyokuwa anajaribu kueleza huku akivunja kanuni anazozisimamia huyo spika. Kilichokuwepo pale si Lukuvi kuomba mwongozo ilikuwa ni hotuba ya kupinga kilichoandikwa. CCM wanajionyesha dhahiri ni vipi wanaweza kutumia kanuni/sheria kuwadhuru wasiowataka na kujinufaisha wao. Ila wajue mwisho upo karibu sana kufika Its a matter of time.


 
Bado Lukuvi anaamini usemi wa kula na kipofu (kutomshika mkono). Wenye chongo sasa wanaona wanashika mikono!!!
 
The only thing that need change is a wet baby,
Tusiwe na wasiwasi, change ndani ya bunge na kwa wananchi itakuja kwa jinsi yoyote ile.

Vijana wa CHADEMA waliopo bungeni sasa watahesabika mashujaa kwa kizazi kijacho.
 
nimeipenda sana hii makala.... ahaha naona JK kwa hilo anaonekana ana ka u small thinker kidogo....maana kwenye metamorphosis kuna kujivua gamba vilevile..!
 
Makala nzuri sana toka kwa Sued japo katwajwa Lukuvi ndani lakini makala nzima haimuongelei mtu 'lukuvi' bali inauongelea mfumo mbovu ndani ya nchi yetu unaopenda kufunika mambo ya msingi kwa kauli za 'kitoto' zinazotolewa na viongozi wetu tuliowaamini kuwapa dola. Kina 'lukuvi' waishike kauli ya 6 kuwa hakuna haja ya kuwadanganya watz wa sasa kwani wameanza kuwa wanahoji masuala ya msingi na hawaishii kusema ndiyo kama wabunge wengi wa ccm. kwa sasa Tz wanahoji na ukitizama kwa umakini, maandamano ya kuongeza uelewa wa haki unasaidia sana kuingiza dhana ya HAKI na AMANI vichwani mwa watz.
Ukondoo wa watz unaondoka polepole na sasa haki na amani ndo vinatafutwa na wala si amani na upendo
 
It's a good article and is down-to-earth. Hawa magamba ni kama vile wamepagawa, hawana habari kuwa Tz ya leo si ile ya zamani, Watz wa leo wanaanza kuzijua na kudai haki zao. Pia wanaona maovu yafanywayo na wakubwa halafu wanajilinda. Watu wadogo ndiyo hubanwa na sheria, siyo wao.

Katika hali hii kweli amani itapatikana? Kwa maneno maneno tu ya majukwaani ya akina Lukuvi? Nakiri sina takwimu, lakini uliza Mtanzania yoyote swali hili: Jee katika hali hii ya sasa, sheria kuwabana wadogo tu, wahalifu wakubwa wakubwa wanaofilisi nchi wanaachwa, kweli amani inaweza kudumu? Asilimia 99 watajibu hakuna amani katika hali ya namna hiyo!

Neno 'uchochozi' sasa limekuwa ni kimbilio la viongozi wa CCM na wao ndiyo wanatoa tafsiri yake. Kwa mfano waziri analifungia gazeti kwa kusema tu limeandika 'uchochezi' kwa tafsiri ya muono wake -- siyo wa mahakama, kwani waziri halazimiki kulipeleka gazeti mahakamani kwa hofu ya 'uchochezi' kutafsiriwa siyo vile anavyotaka yeye.
 
It's a good article and is down-to-earth. Hawa magamba ni kama vile wamepagawa, hawana habari kuwa Tz ya leo si ile ya zamani, Watz wa leo wanaanza kuzijua na kudai haki zao. Pia wanaona maovu yafanywayo na wakubwa halafu wanajilinda. Watu wadogo ndiyo hubanwa na sheria, siyo wao.

Katika hali hii kweli amani itapatikana? Kwa maneno maneno tu ya majukwaani ya akina Lukuvi? Nakiri sina takwimu, lakini uliza Mtanzania yoyote swali hili: Jee katika hali hii ya sasa, sheria kuwabana wadogo tu, wahalifu wakubwa wakubwa wanaofilisi nchi wanaachwa, kweli amani inaweza kudumu? Asilimia 99 watajibu hakuna amani katika hali ya namna hiyo!

Neno 'uchochozi' sasa limekuwa ni kimbilio la viongozi wa CCM na wao ndiyo wanatoa tafsiri yake. Kwa mfano waziri analifungia gazeti kwa kusema tu limeandika 'uchochezi' kwa tafsiri ya muono wake -- siyo wa mahakama, kwani waziri halazimiki kulipeleka gazeti mahakamani kwa hofu ya 'uchochezi' kutafsiriwa siyo vile anavyotaka yeye.



Penye red: Inanikumbusha kesi ya Gire na jinsi hakimu alivyosema wakati anaitupilia mbali kesi hiyo na kumwachia mshitakiwa. Alisema ni kesi mojawapo ambazo hupelekwa mahakamani ili mahakama ibebeshwe lawama.

Ni kesi za kupelekwa tu ili mradi ilipelekwa. Gire siyo mhalifu mkuu wa Richmond, wahusika wakuu wapo na wanajulikana. Ukisema sana hii Hosea ataleta ile nonsense yake ya 'peleka ushahidi kwake. Mashitaka yaliyopelekwa ni weak -- na ilifanywa kimakusudi ili kesi ianguke, halafu watambe na kusema si kesi ya Richmond ilipelekwa mahakamani na ikaanguka? siyo sisi ni mahakama!

Mtu anatamani kutoka nje na kuanza kupigana na vigogo wowote wa magamba anayekutana nao. Inaudhi sana -- wanahatarisha amani hawa kina JK na genge lake.
 
lukuvi akisoma hii makala hawezi kuielewa kamwe

wengi wanaopiga kelele za kijinga bungeni huku wakitaka bajeti uchwara zipite na wapate posho hawawezi soma na kuielewa makala hii maana wao vichwa vyao havijakaa ki-udadisi wa mambo... na kama wanauelewa unaopaswa kuwa nao mbunge basi wanatanguliza njaa na kuuza uzalendo kwa taa ya mali na kukilinda chama kama imani yao.
 
Ni masikitiko makubwa kuona watu wanaoapa kulinda haki za mwananchi wanakuwa Mabubuzela wakati haki ya msingi ya binadamu inavunjwa. Ubabe wa mitulinga hausaidii yeyote bali unaogeza maumivu kwenye kidonda.Ni lini hao waheshimiwa kama wanavyotaka kuitwa watakuwa waheshimiwa wa dhati? Serikali ni mkataba kati ya watawala na watawaliwa,ikifika wakati watawaliwa wakahoji serikali kama haikidhi mahitaji wana haki ya kupata majibu sahihi.Ila kama watawala wameshindwa kujua nani aliewaandika kazi ,ni huyo mlalamikaji yaani mwananchi.
 
<br><br>I will always the say that changes are inevitable , even though ccm members&nbsp; including are trying to be deaf,blind and ignonant about these changes but one every will appreciate.we they go to the boses and bring the bread cramb to us but where is the whole bread? they go to boses and bring the patch to us but where is whole overcoat?&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp; we need the&nbsp; whole overcoat and not a patch&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp; we need the whole bread and not bread crumb<br><br><br>
 
Mimi sisomagi magazeti yanayomilikiwa na fisadi Rostam Aziz -- The Africa, Mtanzania, RAI na MwanaHalisi (Yes, MwanaHalisi, kwani Kubenea naye kanunuliwa na Rostam siku hizi). Mwandishi wa habari yoyote huru na makini hawezi kukubali kuajiriwa na Rostam Aziz. It's a matter of principle.
 
I will always the say changes are inevitable , even though ccm members including lukuvi are trying to be deaf,blind and ignonant about these changes but one day every one will appreciate.
They go to the boses and bring the bread crumb to us but where is the whole bread?
They go to boses and bring the patch to us but where is whole overcoat?
we need the whole overcoat and not a patch
we need the whole bread and not bread crumb
AMEN
 
lukuvi akisoma hii makala hawezi kuielewa kamwe
Ni kweli kamwe hawezi kuielewa kwani anafaidika na mfumo tulionao sasa ambao utulivu wa watz unatafasiriwa kuwa AMANI ilhali kwa sasa angalau watz wameanza kunyanyua migongo yao na kumtaka aliyebebwa asiburure miguu kwani mbeleko litaachiwa muda si mrefu
 
Back
Top Bottom