Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

je, kuna umuhim wowote wa kuongozwa na viongozi wazalendo hasa uraisi? wagombea wengi wamekuwa wakijiita wazalendo bt at the end of the day wizi mtupu. hamuoni kuwa kuna umuhimu wa kuongozwa na...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Nikifikilia uchaguzi wa Igunga napata presha, najua CCM watatumia mbinu zozote kuhakikisha jimbo linabaki kwao, najua Rostam hatakubali kupigia kampeni CCM, kama kweli anataka watanzania...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Mara nyingi timu za kampeni zimekuwa na msukumo mkubwa katika kuhakikisha ushindi wa chaguzi mbali mbali za nafasi mbali mbali. Kama tunavyojua kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Igunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Mkutano wa leo wa chadema ulifanyika katika uwanja wa Tindigani kata ya Kimandolu ambapo ndipo anapotoka Naibu Meya Estomih Mallah aliyefukuzwa chamani. Katika mkutano huo, Mbunge wa...
36 Reactions
261 Replies
26K Views
Jamani hakuna asiyekubali kuwa jk kachemsha, jamaa anakumbana na matatizo kibao na maamuzi ni tatizo na hii imeambukiza viongozi wa kisiasa na wa taasisi mbalimbali kwa wingi. Chadema should be...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbunge Nyamagana Chadema, Hezekia wenje amesema kitendo cha kuwapa ardhi kubwa kwa miaka mingi ( 99 years) watu kutoka nje ya nchi ni sawa na kurudisha Wakoloni Tanzania kwa jina la wawekezaji...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nadhani mshapita pale Keko mkaona jinsi Polisi wetu wanavyoishi..wanaishi kwenye nyumba za mabati na wengine wako kwenye mahema...walio na afadhali wanaishi kwenye nyumba za namna hii Say...
0 Reactions
82 Replies
9K Views
Tue Aug 16, 2011 10:26am GMT * Beats eight other bidders for key block * Offshore bidding round eyed next year By Fumbuka Ng'wanakilala DAR ES SALAAM, Aug 16 (Reuters) - Tanzania has awarded...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SERIKALI Iringa yaingilia kati sakata la ufisadi wa mkataba feki wa uwindaji katika mradi wa wa Hifadhi ya Mali Hai (Mbomipa) unaoundwa na vijiji 22 vya Tarafa za Idodi na Pawaga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kufuatia tangazo la EWURA la kupandisha bei ya mafuta kwa aina zote yaani Petroli,Dizeli na Mafuta ya taa kuanzia leo naomba Mbunge yeyote makini kutoka upinzani hasa CDM apeleke HOJAS BINAFSI YA...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Naomba mnijuze yu wapi mzee wa zama za ukweli na uwazi mzee wetu BENJAMINI W MKAPA? Namkumbuka miye kwani sasa maisha ya watanzania wengi kama miye wanaishia mlo mmoja, ama kweli JK ametutenda...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nimejaribu kucheki vyombo vya habari hivyo cku ambako viongozi wa cdm walifika arusha na kufanya mkutano kuhusu maamuzi ya kamati kuu ya kuwafukuza madiwani watano.Vyombo vya habari ambavyo...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Majibu ya Mh. Pinda jana bungeni kuhusu mazungumzo ya mwafaka na viongozi wa CHADEMA juu ya suala la uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya Arusha, yanaonyesha hali ya kuwa PM wetu ni kigeugeu. Si yeye...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Nilikuwa namsikiliza mh Susan Kiwanga antoa takwimu Bungeni leo anasema Kwa miaka 50 iliyopita serikali imeweza kupima asilimia 1 tu ya ardhi Tanzania, Swali likaja: Je tunahitaji miaka mingapi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Katibu kupitia kwa mkiti wa Bunge Jenister Mhagama ametangazia wabunge kuwa Shirika la Nyumba liko ktk maeneo ya viwanja vya Bunge tayari kuwauzia wabunge Nyumba zake. Wanaotaka nyumba...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Serikali imesema ina majina ya wauza madawa ya kulevya lakini kutokana na kuendelea kwa upelelezi hawatataja majina yao.Ningefurahi sana kufahamu majina yao maana naweza kuwa naendelea kusali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WADAIWA KUPATA MGAWO WA SH 4 MILIONI KILA MMOJA KUTOKA FEDHA ZILIZOKUSANYWA NA JAIRO 15, Agosti 2011 TUHUMA zilizosababisha kupelekwa likizo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Prof. Jana tumekusikia ukikana kuwa hujapigwa stop. Sasa tueleze kwa nini umevunjika kama glass!!!! umezimika kama mshumaa!!! Umesema kuwa this field unaielewa sana na inahitaji professionalism...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete, rais uliyetokea kupendwa na Watanzania wengi hadi ukaweza kupata kura nyingi kukupa ushindi wa kishindo, sisi Watanzania tunakuomba ukirudi kutoka Marekani usafishe...
0 Reactions
151 Replies
28K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI MHE. HALIMA JAMES MDEE (MB) KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2010/2011 NA...
6 Reactions
26 Replies
11K Views
Back
Top Bottom