Hotuba ya makadrio ya matumizi ya fedha ya wizara ya habari vijana na utamaduni na michezo iliyowasilishwa na Dr Emmanueli Nchimbi ilijadiliwa kwa hisia kali. Jambo ambalo wabunge walipendekeza...
Kutokana na mvutano uliokuwepo kati ya wafanyabiashara na EWURA juu ya bei ya mafuta kumalizika kwa bei ya mafuta kushushwa tulitarajia kama tulivyoelzwa kuwa tuna akiba ya mafuta ambayo inaweza...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE. MCHUNGAJI PETER MSIGWA, (MB) WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA 2011/2012.
UTANGULIZI
Mheshimiwa...
Wasalaam wandugu,
Natumaini mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu. Leo nilikuwa naperuzi mada moja inayohusu BP kufunguliwa mashitaka na EWURA. Lakini nilipoona habari hiyo kukawa na jina la...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imemshtaki katika Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya BP, Engelbert Kongolo ikiiomba aeleze kwa nini asifungwe...
Nchi ya India kwa siku takribani 4 imekubwa na joto kali la maandamano yaliyochochewa na mwanaharakati na mpigania haki Anna Hazare. Mzee huyu mwenye umri wa miaka 74 alikamatwa na polisi wa India...
Shirika la Masoko ya Kariakoo linamilikiwa na Jiji la Dar (lenye asilimia 51) na serikali kuu (asilimia 49) - for the novices ni mgawanyo wa hisa kama uliokuwa kwenye Shirika la UDA. Kama UDA, SMK...
Waziri Mkuu Pinda Na Mbunge Halima Mdee Bungeni
Wakijadili Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Ardhi
Mdee aonya machafuko kugombea ardhi
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee aliitahadharisha...
ni miezi kadhaa imepita tangu uchaguzi mkuuu ufanyike. majimbo ya ubunge karibia yote yamekwenda kwa vyama pinzani. sidhani kama kuna mkoa ambao hili limeshawahi kutokea hapo kabla.je huu mwamko...
wadau nimepata taarifa kutoka Geita kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Geita bwana Msukuma ametakiwa na madiwani wenzake wa CCM kujihuzuru nafasi yake ya uenyekiti wa Halmashauri...
Tuesday, 16 August 2011 23:34
AONYA MUDA WAO KUHODHI ARDHI KUBWA UMEKWISHA
Waandishi wetu, Dodoma, Dar
LICHA ya kupata wakati mgumu Bungeni, Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA), imekifungia Kiwanda cha Kusindika Samaki cha Sea Product cha jijini Tanga kwa kosa la kuingiza shehena ya samaki kutoka nje ya nchi bila kibali cha...
Mkuu wa wilaya ya manispaa Tabora mjini ameonja joto ya jiwe baada ya kutaka kuwachangisha walimu mchango wa sherehe za uhuru na mwenge walimu walimuchachafya kwa hoja kwenye ukumbi wa uhadhili...
Ndugu zangu WanaJF,
Hatimaye nafsi yangu imekuwa huru. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu huku nikiumia moyoni nafsi yangu sasa imekuwa huru na niko tayari kufanya lile ambalo naamini...
Nianze kwa kumnukuu m/kiti wa kamati ya bunge ya mali asili na utalii, Ndg . Lembeli (MBUNGE) Amessema--- kuna watanzania wachache wanaoshirikiana na wa majangili katika kuiba na kusafirisha...
msajili ameweka kiwango cha pesa ya kampeni igunga kwa kila mgombea ni sh 40000000 na jimbo la igunga lina kata 20. usafiri wa helkopta kwa si chini ya 8000000 je? vyama kutumia helkopta hamuoni...
Kuna wakati nashindwa kujua ya kuwa je waziri ngeleja ndio aliyewaambia tanesco kuanza tena mgao wa umeme mara baada ya kupita kwa bajeti yake au la ?
lakini jambo lingine baya wakuu wa tanesco...
Wadau natoa hoja ikibidi tuanzishe mkakati wa kuwashinikiza Mh W.Ngeleja na A.Malima mpaka wajiuzulu uwaziri wa wizara ya nishati na madini. Kuendelea kuwepo ofisini ni kutudhihaki na kutu tusi...
Habari za sasa hivi ni kwamba Chama cha Magamba (CCM) wameshajipanga kumfukuza mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita. kandoro kisha tia timu mjini geita tayari kwa kusimamia zoezi hilo...
Migogoro ya ardhi hapa nchini imekithiri na imefikia hatua ya umwagaji damu.
Migogoro hii imegawanyika katika makundi mawili; wakulima na wafugaji na wananchi na wawekezaji.
Migogoro hasa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.