Prof Tibaijuka- Kauli yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Tibaijuka- Kauli yako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHUAKACHARA, Aug 16, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Prof. Jana tumekusikia ukikana kuwa hujapigwa stop. Sasa tueleze kwa nini umevunjika kama glass!!!! umezimika kama mshumaa!!! Umesema kuwa this field unaielewa sana na inahitaji professionalism. Swali, wakati unaanza kwa mbwembwe hukujua kuwa this field is professional
  Umetuacha hoi tuliokutegemea.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  walewale MAGAMBA hakuna jipya hapo! ni porojo kwa kwenda mbele!
   
 3. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Hana jipya huyo
   
Loading...