Hongereni NSSF kwa kufanya hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongereni NSSF kwa kufanya hivi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Jul 11, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Nadhani mshapita pale Keko mkaona jinsi Polisi wetu wanavyoishi..wanaishi kwenye nyumba za mabati na wengine wako kwenye mahema...walio na afadhali wanaishi kwenye nyumba za namna hii

  Say whatever you like about NSSF lakini huu ni mfano wa kuigwa...if only wengine wangewajengea walimu nyumba na ma daktari wetu.


  Nyumba za Polisi kabla

  [​IMG]
  Hivi Polisi akiamka toka kwenye mazingira haya mnategemea atakuwa na mood gani kutwa nzima?
  Nyumba za polisi zilizojengwa na NSSF:

  [​IMG]  Sasa stay tuned kusoma maoni ya waliokuwa wakitaka polisi waendelee kuichi kwenye nyumba hizo za hapo juu

  Hivi kweli hawa watu wanaolinda usalama wetu na tuwaache waishi maisha haya?


  seriously...sidhani kama kuna mtu na akili zake timamu atakuja kusema kuwa NSSF wamekosea kufanya huu mradi
   
  Last edited: Jul 11, 2009
 2. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kiasi gani kilitumika kujenga hizo nyumba????
   
 3. A

  Adili JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 2,013
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Naomba kuuliza,

  1) Nani anamiliki nyumba hizi?
  2) Ni jukumu la nani kuwapatia polisi makazi?

  Natanguliza shukrani.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...inategemea na atakayokutana nayo barabarani; kama ni ma rangerover vogue, mabenzi, misururu ya mashangingi ya viongozi na ma-bmw ilhali yeye yuko ndani ya kipanya, wakati wasafiri wote ndani ya magari hayo wanalipwa kwa kodi kama yeye....na pale akihoji kwanini wao wanatumia wanatumia magari ya millioni 100 anaambiwa kama anawivu na ajinyonge......basi hachelewi kabisa kuchukua chekecheo na kwenda pale central kulimimina hadharani!!
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  sijui, lakini ninachojua ni kuwa Polisi wetu wanahitaji kuishi kwenye yumba ambazo ni decent je wewe una tatizo na hilo?
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  basi mjomba nilipita pale kwenye zile zilizopo karibu na bondeni...hatari bwana huwezi kuamini hiyo harufu inayoka kwenye vyoo vyao ambavyo vimejaa na kusema ukweli kwa sababu za health and safety si mahala pa kuishi mtu

  Vyooo vimejaa na havipakuliwi mpaka ma*i yaanza kumwagika uani

  its un believable kusema ukweli


  If only jamaa wa PPF au PSPF wangewajengea Walimu wetu nyumba nao walau tungekuwa tunaenda mbele kidogo kidogo
   
 7. Robweme

  Robweme Senior Member

  #7
  Jul 11, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu;
  Kwani nyumba za keko si zilikuwa mpya hapo mwanzo.
  Je serikali haino kuwa ingekuwa bora wanazikarabati mara kwa mara wasingeitaji kujenga mpya.Hata hizo ghorofa walizowapa wasipo zikalabati zitafanana na za keko tuu.Issue hapa ni kuzipa routine maintenance.Nyumba lazima kuiangalia leo inatatizo gani una repair sio kujenga unaiacha miaka kibao bila matengezo mkuu.
  Hata hizi mpya mda si mrefu zitakuwa kama za keko tuuuu.
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Unaongelea za Dar... nenda kule Mwanza South, Kirumba kwenye second biggest Tanzania city, au basi nenda kule Lugalo kwenye manispaa ya Iringa ujionee!!

  Maayne, Just what Obama won't get to see, criticise or praise!!

  That being said, props to NSSF for their continued effort to uplift the morally of civil servants by making the tunnel visions of slums disappear before our very eyes!!
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Ndio kila nyumba inayojengwa oka chini huwa inakuwa mpya lakini hizi zilijengwa na Mkoloni zinaitwa KOTA

  Are you serious? yaani unataka serikali izikarabati hizi nyumba za KOTA? wangetumia kiasi gani kuzikarabati mpaka ziwe habitable?

  I cant believe bado hutaki binadamu mwenzako apate kuishi maisha na sehemu ambayo ni decent ...why? kwa sababu polisi hawafai kuishi kwenye nyumba za maana au?
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  I hear you man, lakini haya yote yanahitaji watu wenye vision kama DG wa NSSF Dr Dau, jana lile jengo la PCCB jipya wamejenga wao na rais alienda kulfungua,University kule Dodoma ukiona faculty inayojengwa na NSSF utafikiri uko UCLA lakini muhimu zaidi nadhani serikali ingewawezesha hawa NSSF wakaendeleza miradi zaidi ya ujenzi wa jamii sehemu za Mwanza South, Iringa, nadhani tayari washaanza kujenga nyumba za wanajeshi kule Arusha

  Unajua it takes alot of guts kuwaambia watawala kuwa this is what we should do...na hapo bado hatujaingia kwenye daraja la Kigamboni

  Je unazo picha za Mwanza South? kama unazo tafadhani naomba utuwekee
   
 11. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  sina matatizo na polisi kukaa kwenye nyumba nzuri, tatizo ni matumizi ya hela ya NSSF kwenye project zake, kila project au manunuzi unakuta bei imeongezwa mara kumi labda hela iliyotumika katika kujenga hizo nyumba ingeweza kujenga zaidi ya hizo

  hilo eneo lilikuwa kubwa kidogo sehemu nyingine wamefanya nini wameacha nafasi ya watoto ya kuchezea?? tuwekee picha ya eneo linalozunguka
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Safi sana

  hata tuonyeshe hayo matatizo ya matumizi ya NSSF kwenye hizi project za ujenzi..nothing wrong with sharing information and data ili kuweza kusupport argument yako

  Halafu hebu tuonyeshe ni project ipi bei imeongezwa mara kumi...surely shirika kama hilo lina ma audotors, external auditors na kadhalika na kama kungekua na tatizo wangelisema au naongopa

  Basi tuletee mfano wa mradi ahata mmoja ambao umetumia kama mfano wa hoja yako
   
 13. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  Kwa hili nawapa pongezi nyingi, hata hivyo tusisahau vifo vya watoto 19 Tabora pia majengo aliyouziwa Manji kwa bei ya kuputa.
   
 14. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkubwa mimi nafikiri ukisoma signature yangu itakupa faraja sana ila elewa watu lazima wata comment kisiasa zaidi na sio kwa maslai ya Askari Polisi wetu

  Hongera NSSF
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Naam umenikumbusha mbali sana mzee

  [​IMG]

  maneno yako mazito sana hapo chini
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hela za NSSF hata mie na ushamba wangu huu, ningelifanya maajabu hadi watu wanisujudie. Tena hata AIRPORT za Tanzania, ningelizichukua na kuziwekea Zege sehemu ya kutua na si mavumbi kama ilivyo mikoa ya Tabora, Shinyanga, Mara, Kigoma nk.
  Huu ufisadi kama wa Twin Tower inabidi kuuangalia sana hasa hawa watu wanaotunza hela za WADANGANYIKA. Hii ni common sana dunia nzima kwa watu watunza hela za walala hoi, kama wasipoangaliwa basi huwa kuna kula sana. Sasa kama jengo la Chimwaga Dodoma, ilikuwaje wapewe UDOM? Walilipia au walipewapewaje na hasa ukichukulia hizo ni hela za WALALAHOI.

  Haya ya kusema eti kuna wakaguzi wa mehesabu, wakaguzi my a**. Tuliona walivyokagua BoT hadi akina Hosea wakaenda na kusema mambo swaafi Tanesco/BoT. So pleaseeeeeeeeeee!!!!!!

  Kama hii kitu inafanywa huku wakichukua below 10%, then let it be. Nilishafika nyumba za POLISI Dodoma, kwa kweli nilitaka kutokwa machozi. Chumba wameweka Shuka kutenga sehemu wanapolala wazazi na watoto, na vitoto vya kike tayari kifuani kumeanza kujaa. Ni wazu/Mpango mzuri na unafurahisha na kama wafanyika bila ufisadi basi uendelee, ila walipie kodi au SERIKALI izinunue na kuwapa POLISI na hizo hela za NSSF zirudi na faida ili walalahoi wawe wanalipwa na si huu wizi wanaoufanya kwa vizee vikizeeka wanavinyima hela ili wakajengee POLISI huku wao waki-EPA asilimia 60.
   
 17. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  yah ni kweli wanastahili hongera kwa hilo,ukiangalia nyumba nyingi za polisi zilijengwa enzi za ukoloni na nyingi walizidesign kuishi mabachelor yaani chumba na sebule,lakini leo utakuta chumba hicho na sebule anaishi polisi,mke na watoto wake watano wakubwa wakike pamoja na wakiume.lakini utashangaa wanalala wote humohumo.Aisee ni msaada mkubwa mno!
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kufanya mambo yote haya inabidi uwe na vision...MKULO alikaa pale miaka mingapi na alifanya nini

  Cha ajabu inaonekana kuwa serikali iko more comfortable kufanya kazi na NSSF kuliko PSPF, PPF,LAPF na wengineo kwa sababu ma CEO wa hizo pension funds zingine hawana vision

  Kama si uhuni wa akina GREY MGONJA daraja la kigamboni lingekuwa lishakwisha na mliojenga majumba kule mngekuwa mshahamia
   
 19. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...bora myaseme nyie, tukisema siye tutaonekana tuna wivu na nibora tujinyonge!!
  ...madudu yote kuanzia BoT watu bado wanadunda na akina Obama wanajua wameshughulikiwa huku sifa zikimiminika!!
   
 20. Alwatan

  Alwatan JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  GT,
  Dr Dau sio vision tu, bali hata perfomance ya mfuko NSSF inatisha under him. JK angemchukua Dau na kumuweka TRA, Jamaa angekua anakusanya kodi Trillioni Moja kwa mwezi kwa vyanzo hivyo hivyo vya kodi. Ule ujinga wa nusu ya kodi zinazopaswa kuingia TRA kuishia kwa maafisa wajanja wa TRA angekomesha within 6 months.

  Halafu si mtu wa kujikuza na kupenda umaarufu kutwa kwenye Tv hata shirika likitoa kanga kwa yatima kama KIMEI. Jamaa ni mfano wa wasomi wachache hapa Tanzania wanaotumia elimu yao na exposure yao kwa manufaa ya taifa. No wonder NSSF inachanua under him baada ya kufubaa kwa miaka 16 under Mkulo.
   
Loading...