Nina hamu ya kujua majina yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina hamu ya kujua majina yao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Aug 16, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Serikali imesema ina majina ya wauza madawa ya kulevya lakini kutokana na kuendelea kwa upelelezi hawatataja majina yao.Ningefurahi sana kufahamu majina yao maana naweza kuwa naendelea kusali kanisani kwa muuza madawa ya kulevya Mungu aepushe mbali.WanaJF wenye fununu mtujuze jamani ili tuepukane na aibu hii.Naomba jibu.
   
Loading...