Mh. Waziri Mkuu Pinda ni KIGEUGEU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Waziri Mkuu Pinda ni KIGEUGEU?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by President Elect, Aug 12, 2011.

1. President Elect

President Elect JF-Expert Member

#1
Aug 12, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 693
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Majibu ya Mh. Pinda jana bungeni kuhusu mazungumzo ya mwafaka na viongozi wa CHADEMA juu ya suala la uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya Arusha, yanaonyesha hali ya kuwa PM wetu ni kigeugeu.

Si yeye peke yake, bali hata mheshimiwa Naibu Spika Ndugai na baadhi ya wenyeviti wa Bunge letu tukufu. Ndugu wananchi wazalendo, nawasihi tukemee jambo hili kwa nguvu zote.

Inshallah, Mwenyezi Mungu yuko upande wetu. Ramadhan karim, na mimi nitasema KWELI daima, fitina kwangu mwiko.

2. Daffi

Daffi JF-Expert Member

#2
Aug 12, 2011
Joined: Jun 25, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 178
Trophy Points: 160
Naunga mkono hoja!

3. Utingo

Utingo JF-Expert Member

#3
Aug 12, 2011
Joined: Dec 15, 2009
Messages: 7,121
Likes Received: 185
Trophy Points: 160
By the way mkutano kati ya Pinda na Mbowe na slaa haukuwa/haukustahili kuwa trated confidential no need for the third part to know?

4. JamboJema

JamboJema JF-Expert Member

#4
Aug 12, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,148
Likes Received: 31
Trophy Points: 145
Hivi ni nini hasa unataka kutuambia? Sorry, sijakupata vyema.

5. l

lebadudumizi Senior Member

#5
Aug 12, 2011
Joined: Jun 9, 2011
Messages: 149
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Waziri si kigeugeu viongozi wa CDM ni vigeugeu walimtumia waziri mkuu kuhalalisha uharamia wa kuwatimua madiwani.

6. nngu007

nngu007 JF-Expert Member

#6
Aug 12, 2011
Joined: Aug 2, 2010
Messages: 15,871
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
Kwanini Kuuliza? Jakaya Kikwete ni Kigeugeu why not him?

Tusingekuwa hapa kama wote wasingekuwa Vigeugeu

Wamepeleka ukigeugeu hadi CCM Central Committee

7. The Emils

The Emils JF-Expert Member

#7
Aug 12, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 570
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
sio kigeugeu tu bali ni pinda pinda wa mipango

8. kisururu

kisururu JF-Expert Member

#8
Aug 12, 2011
Joined: Jan 3, 2011
Messages: 332
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Hakika Pinda anapindisha maelezo yake kila kukicha.natama 2015 ifike mapema kwani wengi walioko kwenye serekali hii kigeugeu na legelege tutawaangushia pua.

9. The Emils

The Emils JF-Expert Member

#9
Aug 12, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 570
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Magamba walitumia nini kumlazimisha Rostam Aziz kujiuzulu??? Siasa maji taka Za Pinda na Jk hizo

10. President Elect

President Elect JF-Expert Member

#10
Aug 12, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 693
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Ninachotaka kuwaambia wananchi wenzangu ni kwamba waziri wetu mkuu ni kigeugeu, na asipoacha tabia hii itamgharimu sana yeye na serikali yake. Jana kwa mfano wakati akijibu swali la mh. Ngonyani alitamka kuwa yeye na prof. Maji marefu wako pamoja kwenye kamati yao, ipi ya ufundi?

Samaki mkunje angali mbichi...hata akibanwa kwa jambo jepesi kama hili atakuja na stori ndeeefu...kigeugeu!

11. M

Mzee wa Posho Senior Member

#11
Aug 12, 2011
Joined: Jul 14, 2011
Messages: 160
Likes Received: 0
Trophy Points: 0  Pinda amejilaumu sana kuwakubalia Mbowe na Slaa kwenda nyumbani kwake! hakujua awali wale watu ni wa hovyo watamzushia jambo ambalo hajakubaliana nao! Pinda next time usiwakaribishe hao magwanda nyumbani kwako hawafai na hawana ustarabu kabisa wana tabia za kihuni!

12. F

FUSO JF-Expert Member

#12
Aug 12, 2011
Joined: Nov 19, 2010
Messages: 11,878
Likes Received: 2,343
Trophy Points: 280
Yule ni mzee wa kujitoa, lawama kaka ---- lawamaaaa

13. President Elect

President Elect JF-Expert Member

#13
Aug 12, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 693
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Mbunge mmoja aliomba bungeni juzi kuwa serikali inapaswa kutubu, tena mbunge wa chama cha serikali iliyoko madarakani. Waache kuwa vigeugeu, na hili ni ombi langu kwa PM na serikali yake.

14. M

Mzee wa Posho Senior Member

#14
Aug 12, 2011
Joined: Jul 14, 2011
Messages: 160
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ina onekana Mbowe amezoea kuidanganya Kamati Kuu ya CHADEMA kwa kutoa taarifa za uongo! yani kitendo cha kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu basi akaona ngoja nikawambie wale pimbi na makombati yao kama mgambo wa jiji alie nyeshewa mvua kuwa pinda ameingia muafaka na Chadema mgogoro wa Arusha!

15. President Elect

President Elect JF-Expert Member

#15
Aug 12, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 693
Likes Received: 6
Trophy Points: 35

Mzee wa Posho hebu tuangalie upande wa pili wa shuka, kwa mfano kama katibu mkuu wa CCM, ndugu Mukama asingetoa kauli ya kutotambua mazungumzo ya mh. Pinda na mh. Mbowe/Dr. Slaa, je Pinda angeruka viunzi?

16. Mchelle

Mchelle Member

#16
Aug 12, 2011
Joined: Mar 20, 2010
Messages: 56
Likes Received: 4
Trophy Points: 15
naunga mkono hoja

17. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#17
Aug 12, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Pinda ni mzigo mzito sana kwa taifa hili!

18. l

luckman JF-Expert Member

#18
Aug 12, 2011
Joined: Oct 11, 2010
Messages: 1,202
Likes Received: 174
Trophy Points: 160
We ndo mhuni ndo maana unajiita mzee wa posho, ungekuwa si mhuni usingeshadadia posho huku kipato cha mtanzania ni tzs 770,000.00 huo ndo huuni wa serilkali na mzeev remote yaani pindua! mbona hamlali mnaiwaza cdm?? SUBIRI UONE KIMBUNGA! NCHI IMEKUFA SABABU WATU WALIOPEWA MAMLAKA HAWANA A WALA B!.H

ow can u lead people while u have almost nothing in your head!?we need people who can take action, who can provide A COMPASS TO THEIR PEOPLE!who can give a better plan about employment stratergies, we have how many idol capacities in town?? have u already heard about sthing like effort to support them??? Which kind of govmnt never value its resources???

KAKA MADHAIFU NI MENGI KULIKO MAZURI YA HAWA WAZEE WA MAGAMBA! KWELI TUNGEKUWA NA WATU WANAOFIKIRI TANZANIA HII TUNGEKUWA NA SHULE AMBAZO WANAFUNZI WANAKAA CHINI??

WANAFUNZI 300 WANAFUNDISHWA NA WALIMU 3 AU 1??? SHULE ZIMEJENGWA KWA TOPE?? KWELI TANZANIA HII??? DU! ATAKAYEKUBALI UTAWALA HUU AKI YA MUNGU AKILI YAKE LAZIMA ITAKUWA NA MATATIZO MENGI SANA!!

19. President Elect

President Elect JF-Expert Member

#19
Aug 12, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 693
Likes Received: 6
Trophy Points: 35

Sijui niseme...yaani inaweza kuwa hivi: mizengo~mizengwe, pinda~pindua = kigeugeu?

20. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#20
Aug 12, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160

kudos nngu007 kwa hili maana hawa jamaa kuanzia mkuu wa kaya mpaka vijakazi wake nivigeugeu wananigeukia..
wanasiasa wetu nivigeugeu wananigeukia..

Loading...