Miaka 50 ya Uhuru: Wizara ya ardhi imepima 1% tu ya Ardhi (Aibu kubwa sana!) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya Uhuru: Wizara ya ardhi imepima 1% tu ya Ardhi (Aibu kubwa sana!)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wisdom, Aug 16, 2011.

 1. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa namsikiliza mh Susan Kiwanga antoa takwimu Bungeni leo anasema Kwa miaka 50 iliyopita serikali imeweza kupima asilimia 1 tu ya ardhi Tanzania,

  Swali likaja:
  Je tunahitaji miaka mingapi ili kuweza kupima ardhi yote ya Tanzania?
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Mungu ibariki Tanzania...
   
 3. o

  ommie Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miungu alisha ibariki Tanzani, Mungu alishaibariki Africa...
   
 4. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jibu ni rahisi

  50years = 1%
  ? = 100%

  = 100x50 = 5000 Years!
   
 5. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Miaka 50 ya Uhuni.
  Kama hutaki sikulazimishi.
   
 6. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wataalamu wa ardhi waliopo nchi nzima ni 24%. Sasa wanaohusika kuandaa michoro ni maafisa mipango miji ambao ndio wachache zaidi(Ardhi university ndio chuo pekee Tanzania kinachotoa maafisa mipango miji), kupima ni masurveyor ambao nao ni wachache pia.TAFAKARI, CHUKUA HATUA.
   
 7. delabuta

  delabuta Senior Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa majibu sahihi ni miaka 5000
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 2,331
  Trophy Points: 280
  Hii miaka 10 tuliyonayo ya kukamilisha Hamsini ni ya uhuni zaidi. Miaka 10 ya uhuni ziadi.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Na hivyo vichache vilivyo prime areas wanagawana wao.Kwa nini wasiwe na utamaduni wa kupima maeneo mengi watu wakanunua bila kutoa mlungula?Wanashinda ofisini kufanya nini hao wapima?
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 2,331
  Trophy Points: 280
  Juzi juzi vimepimwa kule Gezaulole kigamboni wamevichukua vyote.
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hatari ya viwanja viwanja vinavyopimwa ni kwamba havipatikani kwa walala hoi. Wenyewe hujichukulia hata mtu akiwa navyo 20 hamjali asiye nacho.
   
 12. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Ni vyema pia tukafahamu asilimia ngapi ya ardhi inatumika kwa makazi na kilimo manake unaweza pia ukapima kitu usichotumia ikawa unapoteza resource kwa sisi wazururaji katika nyika na mabonde tunaona kama 5% au chini tu ya ardhi ndio inayotumika na sehemu kubwa ya ardhi iko iddle wenyewe tunapiga domo bila kuja na mipango kazi ya kutumia ardhi.
   
 13. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naweza kuungana na Bruce wills aliposema kuwa "God already left africa"
   
 14. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Ukuruupi huo kijana na wa nchi gani ambao ulotimza miaka 50 ? ZANZIBAR wana uhuru wao ambao wa mwaka 1964,sasa nauliza uhuru upi ambao munao sherehekea umetimiza miaka hamsini nyie ? Wa tanganyika au wa tanzania ?
   
 15. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Ukuruupi huo kijana na wa nchi gani ambao ulotimza miaka 50 ? ZANZIBAR wana uhuru wao ambao wa mwaka 1964,sasa nauliza uhuru upi ambao munao sherehekea umetimiza miaka hamsini nyie ? Wa tanganyika au wa tanzania ?
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu yaani huu ni ufisadi mwingine. Mimi nilijitoa mhanga nikatoa ka elfu 20 kangu ka maharagwe ya watoto ili labda nipate japo kakiwanja ili nijihifadhi mimi na utitiri wa familia yangu. Baada ya kulipa nikawa nasubiri kwa matumaini nikihisi kwamba naweza nikapata kasehemu kalikopimwa ambapo hata nikipata mgonjwa naweza kuita bajaj ikafika (Ninapoishi kwa sasa hata bajaj haifiki na baba mwenye nyumba yangu alipeleke building materials hasa mchanga kwa debe). Loooh wakuu kwenda kuulizia jamaa mmoja akaniambia walienda wazee pale including wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulikia ardhi wakagawana viwanja vyote labda mimi nisubiri vingine vitakavyopimwa Septemba; nguvu zikaniishia nikajikusanya na kuondoka kwa maumivu ya kuliwa kahela kangu. Huu ni wizi wa mchana kweupeee. Na wenzangu wa Kinyerezi nao wameliwa!!! Watu tunaliwa na serikali kila mahala (sina maana hiyo).
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Uwe si uhuru ama uhuru lakini inakaribia kufika miaka 50 tangia tumeanza kutawalana. Sijawahi kusikia Zanzibar wakisherehekea uhuru!! Zanzibar walipata uhuru mwaka 1963 ila hawasherehekei wao wanasherehekea mapinduzi ya umwagaji damu!!
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Uwe si uhuru ama uhuru lakini inakaribia kufika miaka 50 tangia tumeanza kutawalana. Sijawahi kusikia Zanzibar wakisherehekea uhuru!! Zanzibar walipata uhuru mwaka 1963 ila hawasherehekei wao wanasherehekea mapinduzi ya umwagaji damu!!
   
Loading...