Uchaguzi Mdogo Wa Ubunge Igunga October 2011 - Campaign Teams

Gamba Jipya

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
401
80
Mara nyingi timu za kampeni zimekuwa na msukumo mkubwa katika kuhakikisha ushindi wa chaguzi mbali mbali za nafasi mbali mbali. Kama tunavyojua kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Igunga itafunguliwa septemba 7 na kumalizika mnamo septemba 30 takribanio wiki tatu, wakati uchaguzi wa jimbo hilo utafanyika octoba 1.*
*
Hapa nataka tujaribu kuzipitia timu za vyama vikuu vitatu vitakavyokuwa na ushindani. Je unadhani katika timu hizi ipi unadhani itakuwa na nafasi ya ushawishi mkubwa wa ushindi jimbo la Igunga, yupi unaona hastahili kuingia kwenye timu na yupi unayedhani anastahili.
*
CUF:-
Ibrahim Lipumba, Prof (Mwenyekiti)
Seif Sharrif Hamad (Katibu Mkuu)
Juma Duni Haji (Naibu Katibu Mkuu Znz)
Julius Mtatiro (Naibu Katibu Mkuu Bara)
Hamad Rashid (Mb)
Magdalena Sakaya (Mb)
Habib Mnyaa (Mb)
Mkiwa Kimwanga (Mb)
Klara Mwituka (Mb)
Selemani Bungara (Mb)
Salum Buruani (Mb)
*
CCM:-
Pius Msekwa (Makamu Mwenyekiti Bara)
Wilson Mkama (Katibu Mkuu)
Nane Nnauye (Katibu Itikadi)
John Chiligati (Mb)
January Makamba (Mb)
Samwel Sitta (Mb)
Khamis Kigwangala (Mb)
Said Nkumba (Mb)
Juma Kapuya (Mb)
Aden Rage (Mb)
Harison Mwakyembe (Mb)
Edward Lowassa (Mb)
Anne Kilango (Mb)
Mwigulu Nchemba (Mb)
John Malecela
Husein Bashe
Rostam Aziz
Benno Malisa
John Shigela
*
CHADEMA:-
Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa)
Wilbroad Slaa (Katibu Mkuu)
Zitto Kabwe (Naibu Katibu Mkuu)
John Mnyika (Mb)
Halima Mdee (Mb)
Godbless Lema (Mb)
Highness Kiwia (Mb)
Simon Msigwa (Mb)
Silvester Kasulumbaya (Mb)
John Shibuda (Mb)
Vincent Nyerere (Mb)
Ezeckiel Wenje (Mb)
Tundu Lisu (Mb)
Salvatory Machemli (Mb)
John Heche
Juliana Shonza
Mabere Marandu
Abdalah Safari, Prof
Fred Mpendazowe
Christopher Saye
*
 
Back
Top Bottom