Mgomo na maandamano yanapaswa kuwa silaha ya mwisho kabisa kwa watawala wasiosikia kelele za vilio vya uchungu wa watu wao. Na sasa nashawishika kuwa kuna haja ya kuandamana na kuigomea serikali...
Wanasiasa 26 wachuana kumrithi Rostam Igunga
Monday, 15 August 2011 10:03
Waandishi wetu
KINYANG'IRO cha uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga kimezidi kushika kasi baada ya jumla ya wanachama 26...
MUUWAJI AMETULIA TABATA-ZOMBE UNALETA SIASA NANI ALIMUUA HUU NIUHUNISIDHAN KAMA TUTAWEZA KUVUMILIA
KUWA NA MAWAZIRI WAHUNI KWENYE SERIKALI HIII, KIKWETE WAKATI UNACHAGUA LIST ULIMSHIRIKISHA MIRAJI...
Asalam aleykum, mabibi na mabwana
leo nakuja na hoja binafsi,hoja hii inamhusu Waziri mkuu Mizengo Kayanza Pinda.mh kiranja mkuu wa mawaziri,ulliposema wewe ni mtoto wa mkulima wengi wetu...
Chadema kimeandaa mkutano mkubwa wa hadhara mjini Arusha Alhamisi wiki hii utakao ongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe Kwa kushirikiana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibroad Slaa...
Jamani nataka maoni yenu wana JF. Tanzania inaelekea wapi?
1.Hali ya ufisadi ni ya mpito tu na itakuja kuisha
2.Mafisadi watashitakiwa na haki kutendeka
3.Mafisadi wana nyamazisha kesi...
Saturday, 13 August 2011 20:50
AWAOMBA RADHI WABUNGE, WATANZANIA
Neville Meena, Dodoma
BUNGE jana lilipitisha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini huku baadhi ya wabunge wakiitahadharisha...
Chama cha Wananchi CUF kimemuomba Msajili wa Vyama vya siasa nchini kuongeza kiwango cha matumizi ya kampeni kwa kila chama kufikia TSH. milioni 80 ili kufanikisha kampeni zao.
Source: Star TV...
Mpango mzuri, Fikra pungufu kidogo
Zitto Kabwe
Taifa zima lilikuwa linasubiri siku ya tarehe 13 Agosti 2011 ili kufahamu ni jambo lipi jipya Waziri wa Nishati na Madini atakuja nalo kuhusu...
Kampuni ya Mabasi iliyokuwa imeahidiwa Tenda ya Usafirishaji abiria Jijini Dar mara baada ya Uda kuuzwa kwa Simon Group ni ya Idd Simba?
Naomba mwenye data za kampuni hii atumwagie hapa jamvini...
Wale wanaoitwa wataalam wa hali ya hewa hapa nchini wana elimu ya kubaitisha.Habari nilizozipata kutoka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko huko anasema watu wengi wanaoingia huko Kigoma kilipo chuo...
Ushindi huu kwa wale wote wanojua siasa za Tanzania hakika I SALUTE YOU GUYS FOR YOUR NICE AND BEAUTIFUL STRATEGIC GAME CHESS VICTORY DURING THE END GAME VIVA VIVA FOR THE VICTORY...
Napunguza urefu wa thread, soma hapo chini ufaidike,
Maada yangu imefanikiwa kuibua vitu vingi sana, nawashukuru wachangiaji wote, na ndio maana halisi ya forum, chokonoa watu wteme sumu zao,
Laaa...
Hivi kweli serikali yetu haifanyi biashara, je fedha inatoa wapi? Kama mtu hafanyi kazi na ana pesa then what is his best name and what can be his living ethics.
Tumesikia Kikwete anakwenda Marekani tena kusheherekea uhuru wa miaka 50 ya Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Hivi huyu mwanaccm hafahamu au hasomi nchi za marekani na donors wanazungumzia debt na...
Wadau
Siku chache zilizopita nilisoma thread ya mdau mmoja alieleza kukerwa na na wabunge wengi kuonekana ni wasemaji wa mkoa wa Dar Esalaam. Naam hii ni kero a inatuudhi wengi sijui kama...
Ofisi ya Waziri mkuu imezuia agizo/Tangazo la meya wa Dar kuvunja bodi ya Wakurugenzi wa DDC kwa madai kuwa hana mamlaka hayo kisheria. Awali Masaburi aliivunja ili kupisha uchunguzi wa ufujaji...
Umeme wa Tanesco kupanda
Na Cosmas Mlekani
14th August 2011
Hautawagusa wananchi wa kawaida
Serikali imesema kuwa italiruhusu Shirika la Umeme nchini (Tanesco), kupandisha bei ya umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.