Chadema, mmejiandaaje kwa hili?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema, mmejiandaaje kwa hili??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumwa wa kweli, Aug 17, 2011.

 1. M

  Mtumwa wa kweli Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nikifikilia uchaguzi wa Igunga napata presha, najua CCM watatumia mbinu zozote kuhakikisha jimbo linabaki kwao, najua Rostam hatakubali kupigia kampeni CCM, kama kweli anataka watanzania wamsamehe, yeye mwenyewe amesema CCM wana siasa uchwara, Namuomba Rostam awaache CCM wahangaike wenyewe, wameonesha hawamuhitaji, ili kuwanusulu ndugu zake kina Lowasa ni shariti CCM ianguke Igunga.

  wasi wasi wangu ni huu, je Chadema wamejiandaaje iwapo CCM watapisha mamluki wao kupitia Chadema, nao chadema wakampitisha kugombea, halafu dakika za mwisho mtu huyo akajitoa kugombea?? kuna sheria ya kumbana mtu huyo? hapa Chadema lazima wajipange sawa sawa.
   
Loading...