Total wins Tanzania oil and gas exploration bid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Total wins Tanzania oil and gas exploration bid

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Aug 17, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tue Aug 16, 2011 10:26am GMT

  * Beats eight other bidders for key block
  * Offshore bidding round eyed next year

  By Fumbuka Ng'wanakilala

  DAR ES SALAAM, Aug 16 (Reuters) - Tanzania has awarded oil and gas exploration rights for the northern side of Lake Tanganyika to a subsidiary of French energy company Total SA , its state-run petroleum agency said on Tuesday.

  The Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) said in a statement on its website Total E&P Activites Petrolieres beat eight other bids from Australian, Canadian, British and American companies for the Lake Tanganyika North Area block.

  "Total E&P Activites Petrolieres has shown to be able to comply with the minimum work commitment and has superior technical as well as a financial capability over the other bidders to undertake exploration in the Lake Tanganyika north area," TPDC said.

  Interest in East Africa as a new hydrocarbon region has been heating up in recent years after major discoveries of oil in Uganda and natural gas in Tanzania and Mozambique.

  Lake Tanganyika is shared between Tanzania, Democratic Republic of Congo (DRC), Burundi and Zambia.


  TPDC has divided the Tanzanian side of Lake Tanganyika into two blocks, with the southern portion awarded to Australia's Beach Energy in 2008.

  Beach Energy was among the unsuccessful bidders for the northern block. Oil majors Aminex Plc , Ophir Energy and U.S. independent ERHC Energy had also submitted bids for the oil and gas exploration rights in the Lake Tanganyika north area.

  Despite having natural gas deposits, Tanzania is yet to strike oil.

  Brazilian petroleum company Petrobras expects to start exploration in September for oil and gas off the coast of Tanzania, which is known to have significant gas deposits.

  Tanzania postponed its fourth deep offshore bidding round to next year to allow it to offer new blocks discovered by a latest seismic survey.


  The bidding round, which was initially scheduled for April, was expected to invite bids for 13 deep offshore blocks located around 1,200 and 3,000 metres below sea.


  Among the 17 firms that hold exploration blocks in Tanzania are France's Maurel & Prom , Norway's Statoil, Royal Dutch Shell and Ras al-Khaimah Gas Commission of the United Arab Emirates.
  (Editing by George Obulutsa)
   
 2. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hizi mbio za kutafuta/kuchimba mafuta na gas za nini?

  Kwa nini wataalam wetu wasihache tuone mafanikio ya mradi mmoja, ili TPDC (tunayoipa nguvu kila siku) ijifunze na ku'engage' kwenye miradi mingine?

  Same applied to madini, kila siku utasikia Barrick amepewa ardhi mpya; haipiti siku mbili unasikia STAMICO wameongezewa uwezo --- sasa watachimba nini kama tunatoa leseni za migodi kila siku?

  Hii nchi ajabu sana!
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni kuwa Mawaziri wetu na Maofisa wa Ikulu; wakati wanajadili hii Miradi ya Uchimbaji hawaangalii makampuni ya serikali ambayo yana wataalamu wazuri kweli wa kuweza kusaidia kwenye hii miradi ya GAS and OIL; wanawaacha pembeni ili wakati wa Ugunduzi hakuna wa kujua quality ya hiyo product, quantity and availability hence no transparency... wanachimba wanasema leo wamezalisha barrel 10 kwa ukweli ni 25, 15 zinapita mlango wa nyuma...

  Tuwahusishe TPDC na STAMICO on this issues...OUR TECHS are very capable...
   
 4. b

  bundas Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa, heshima kwenu na ninawaunga mkono kabisa, ile lugha ati hatuna wataalamu wazalendo wakutosha ni UWONGO uliotukuka, Wanalotaka kusema ni kwamba, hatutaki wataalamu wazalendo wabobee kwenye fani zao, kwa nini?
  1. Hata wale waliotumia nguvu zao binafsi kujiendeleza wanabanwa kwa hali na mali kwani wakipewa nafasi ya kuiendeleza nchi kwa hawa ndugu zetu mabozozo wabolibo wa serikalini wanaon wao watakosa kula hence umaskini unatawala daima milele!
  2. Hata makampuni yaliyojaribu kuwalipa wale waonekanao kuwa ni champions professionals , kwa namna moja serikali au wazalendo wengine wenye upeo mfinyu wa akili walipinga kwa wawekezaji kwa taarifa kwamba wabongo ukiwalipa vizuri hawatafanya kazi (my goodness) angalia ndo maana tulichinjwa na kuchomwa moto kule SA.#

  Ukweli usiopingika ni kwamba hakuna mgeni atakaye tuendeleza sisi tukiwa tumepumzika tuu! tunanung'unika ati elimu yetu ni duni wakati hatufanyi jitihada zozote ku-add value kwa tunaowatarajia kushika uchumi wetu, tunabaki kurithishan tu ujinga, baba/mama hakufaulu, akapata nafasi kwa mbeleko, utendaji sifuri, na wanae,wajukuuze vitukuu wote na akili zao butu wanafanya kazi mahali pale halafu tunanun'gunika hatuwezeshwi kivipi?

  Tukiwa wazalendo, mfano wa-Japan walivyokwenda marekani wakatoka na technology ya kutukuka na sasa uchumi wao ni mfano duniani, sisi tukienda tunapiga picha na wacheza, wasanii halafu tunazipanga ili wajukuu zetu wazione! #

  Tuamke tuzingatie mashirika ya kizalendo TPDC,TAMICO, TTCL na mengine mengi ambayo yatatufanya tuajiri na kuwa-recruit real professionals!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi ni kweli mpaka sasa hivi hatuna wataalam wa kufanya hizi exploration? Na kama hawapo, serikali ina mkakati wowote wa kuandaa wataalam?
   
Loading...