wanaodhihaki wako mbali sana na historia!! haijalishi ni cdm au lah ila historia iko wazi watanzania nasi tunaelekea kukamilisha hilo, anguko la ccm wala halipingiki, ufalme wao umekwisha tunasubiri muda tuu! kinachofanywa na cdm leo hii ni kuwaandaa watanzania waichukue nchi yao baada ya muda mrefu kuwapa dhamana wachache kwa imani kubwa lakini leo hii wamejitwalia kila kitu wamejisahau wanaamini nchi ni yao na itaendelea kuwa yao lakini ni upofu wa fikra kwani kila kitu kiko wazi, historia iko wazi nchi itarudi kwa wanyonge, soma mapinduzi ya irani, soma mapinduzi ya ufaransa, hata ndugu zetu wa kenya, zanzibar n.k. nimeacha kutaja ya misri na tunisai makusudi pia watanzania tusiwe na hofu lazma tukubali kadamu katamwagika kama hawatapenda kuachia nchi kiuungwana, mapinduzi yawayo yote ya kiuchumi, kisiasa, kijamii hayaji kirahisi panapotakiwa damu kumwagika lazma imwagike kwa faiada ya wengi vizazi na vizazi. kwa wenzetu wakristo wanaamini katika damu ya yesu iliyomwagika msalabani kwa ajili ya ukombozi wa wengi hivyo wapiganaji wenzangu tusiwewabinafsi tupigane kwa pamoja hadi ushindi utakapokuwa wetu. ALUTA CONTINUA.BY MPARENT