Lema afunua siri za muafaka wa madiwani Arusha

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Wana JF, Mkutano wa leo wa chadema ulifanyika katika uwanja wa Tindigani kata ya Kimandolu ambapo ndipo anapotoka Naibu Meya Estomih Mallah aliyefukuzwa chamani.

Katika mkutano huo, Mbunge wa Arusha mh. Lema aliweka CD iliyomrekodi Mallah akizungumza na mtu anayefanya kazi ofisi ya mwanasheria kwa njia ya simu, akitaka kumpa mwanasheria kitu kidogo, ampe mkuu wa polisi Arusha ili azuie mkutano wowote wa chadema usifanyike arusha, wala viongozi wa chadema hususan Lema asiruhusiwe kuongea na waandishi wa habari.

Kesho tutawekewa CD inayomhusisha Mallah na rushwa kuhusu muafaka wa kichina. Chadema ni noma
 
Ivi mnacheza na cdm had sri za sirikali waaipataga itakuwa mtumishi wao mdogo tuu! Hahahaaaa peopleeeeeeeeeee power!
 
hahahaha. Daaah! Cdm ni noumer. Big up lema. Tunafanya kwa vitendo. Jaman mliopo a_town tujuzeni khs hali ya kisiasa hapo.
 
Hizi kweli sinema za kina Kanumba na Muhogo Mchugu!
Vipi si mwambieni Lema awaonyeshe na ile DVD yake hanavyopora magari kwa kutumia silaha
 
Kamanda Lema nilijua sana kwamba utakapoingia tu msituni uzuri kiasi hiki basi baadhi ya madiwani wetu WACHUMIA TUMBO hao watakua hawana tena pa kutokea.

Big Up sana Mh Lema kwa huo ushahidi wa KUFA MTU, hongereni sana wapiga kura na machaliii wote A-Town kwa kuonyesha kutoendekeza mambo ya Chama Cha Magamba na kupenyez kwa UFISADi hapo Jijini!!!!

Sote tukumbuke ya kwamba MAENDELEO yanayoletwa kwa misingi ya ULAGHAI kama huo wa CCM siku zote huyeyuka kama barafu tu. Sote tukomae tukatafute MAENDELEO ya Jiji hili katika HAKI NA KWELI.

Wana JF, Mkutano wa leo wa chadema ulifanyika katika uwanja wa Tindigani kata ya Kimandolu ambapo ndipo anapotoka Naibu Meya Estomih Mallah aliyefukuzwa chamani. Katika mkutano huo, Mbunge wa Arusha mh. Lema aliweka CD iliyomrekodi Mallah akizungumza na mtu anayefanya kazi ofisi ya mwanasheria kwa njia ya simu, akitaka kumpa mwanasheria kitu kidogo, ampe mkuu wa polisi Arusha ili azuie mkutano wowote wa chadema usifanyike arusha, wala viongozi wa chadema hususan Lema asiruhusiwe kuongea na waandishi wa habari. Kesho tutawekewa cd inayomhusisha Mallah na rushwa kuhusu muafaka wa kichina. Chadema ni noma
 
Hizi kweli sinema za kina Kanumba na Muhogo Mchugu!
Vipi si mwambieni Lema awaonyeshe na ile DVD yake hanavyopora magari kwa kutumia silaha

Muulize Zombe si alijidai kujuwa mambo. Aje ni tena na vielelezo vyake feki kama vya wale ndugu zetu wa Morogoro kama hakuzeekea korongoni.
 
Hizi kweli sinema za kina Kanumba na Muhogo Mchugu!<br />
Vipi si mwambieni Lema awaonyeshe na ile DVD yake hanavyopora magari kwa kutumia silaha
<br />
<br />
Mh.Lema ndiye kiboko yenu. Hilo la dvd ya magari ni kazi yenu wanamagamba, mkitaka mnaweza kumshirikisha zombe 'ze kila' katika utengenezaji wa dvd hiyo. Tunaisubiri kwa hamu kubwa.
 
Hii sinema kali sana! Naona CDM wameshaanza kujishambulia wenyewe!
Ngoja tuone mwisho wake!
 
kamwe sitajutia maamuzinyangu ya kuitumikia dm, Mungu ibar9ki cdm isonge mbele, umoja na mshikamano na ukweli daima, unafki tuukata milele
 
Back
Top Bottom