Spika wa Bunge la Jamhuri Mh. Anna Makinda amemtaka Waziri Mkuu kutoongea na wabunge pamoja na mawaziri wakati kikao kinaendelea ndani ya bunge. Spika amesema kwa kuwa Waziri Mkuu ni kiongozi wa...
From DAILY NEWS Reporters in Dodoma
THE government is considering construction of more natural gas filling stations in a bid to encourage more people to convert their cars to use gas as an...
Makada 13 wavaana CCM, 15 CHADEMA
CUF yateua aliyegombea mwaka jana
KINYANG'ANYIRO cha ubunge katika Jimbo la Igunga kimezidi kupamba moto na hadi jana walikuwa wameomba kuwania nafasi hiyo...
Historia inatuambia kwamba enzi za mwalimu, viongozi wa wilaya, vijiji, nk. ilikuwa ni lazima wawe mfano katika kilimo kwa kuhakikisha kuwa wanakuwa na shamba zuri lenye mazao yaliyostawi vizuri...
Wenye taarifa naomba mtujuze kuhusu lile sakata la kutaka kumpeleka mahakamani Mzee wa Vijisenti, ambapo Hosea alidai kwamba faili lipo mezani kwa AG at the same time AG akadai kwamba faili...
Vyama vya siasa Tanzania vimekuwa vikifukuza wanachama wao wa ngazi mbalimbali pale viongozi hawa wanapokaidi au kwenda kinyume na itikadi ya chama husika. Lakini nadhani swali la msingi hapa ni...
The Story in the Economist tells it all. As a continent, Africa has a long way to go. Leave alone the perverse corrupt governments in power! Follow the link and read this pathetic story
China...
SPIKA wa Bunge, Anna Makinda, amekanusha madai kuwa amepata nafasi hiyo kupitia mkono wa mafisadi na kwamba Mungu wake alikuwa mlangoni kwake.
Hii si mara ya kwanza kwa Makinda kukanusha madai...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/161403-picha-za-wanaosinzia-bungeni.htmlMbona haja wakemea wanao sinzia bungeni na kuchafua ukumbi....
Pitia habari hii ambayao nimei-scan kwenye...
Pamoja na kwamba si vibaya mtu yeyote kwenda bungeni ila kwa huyu mtoto wa JK kuwa kule kunatia mashaka!
Hata hataki kamera imuone, au ndio kwenda kukamilisha madili kwenye bajeti ya dharura...
Watanzania hao hao waliomchagua Kikwete kwa 60% sasa eti wanakuja kulalamikia Maji, Umeme na Mafuta. Sasa Mlitegemea nini wakati kila mtu anajua JK hawazi Kuongoza nchi??. Mmejitakiwa wenyewe na...
Ni katika kikao cha ccm mwanza, akiwaambia wajumbe wa mkoa kuna wana ccm wanakisaliti chama ila hawachukuliwi hatua na kusababisa ccm kushindwa, ni bora kuchukua maamuz magumu kama wapinzani wetu...
Nimepewa assingment niandike kuhusu government and the state. Kwa hiyo I will writie something---anything.Televison set yangu imekuwa silent for 7 days now,imeharibika. Lakin maybe nothing much...
Kuna habari kuwa maaskofu wa kinachoitwa makanisa yasiyofungamana na upande wowote wamemwandikia spika wa bunge barua wakiomba kupewa nafasi ya kwenda Dodoma kuliombea Bunge ili lisikumbwe na...
NI vizuri leo kuwakumbuka mashujaa wa ki israel walikwenda kuwakomboa ndugu zao pale entebe nchini Uganda, mwaka 1976 usiku wa saa 12.32. Ni miaka thereathini na tano imepita lakini lile tendo...
Tangu nimefika Same ni miaka sita sasa kunatatizo sugu la maji, lakini mbunge wao sijawahi kumsikia hata sikumoja ni jitihada gani atakazo au alizo zichukua kutatua tatizo hili. pia tangu uchaguzi...
Pinda akubali wazo la kuigawa Wizara
Mwananchi
13 August 2011 20:37
Habel Chidawali, Dodoma
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kuwasilisha kwa Rais Jakaya Kikwete pendekezo la kuigawa Wizara ya...
Kurasa sita ambazo zitakufanya ufikirie mara mbili (kama siyo zaidi) uko upande gani wa mwamko wa mabadiliko? You know what you got to do.. so WHY NOT, JUST DO IT!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.