Rais awe anaajiliwa

mud ice

Member
Aug 17, 2011
7
0
je, kuna umuhim wowote wa kuongozwa na viongozi wazalendo hasa uraisi?

wagombea wengi wamekuwa wakijiita wazalendo bt at the end of the day wizi mtupu. hamuoni kuwa kuna umuhimu wa kuongozwa na viongozi kwa mikataba ya ajila yenye kulindwa na bunge na sio chama kama ilivyo( maamuzi yote kutolewa bundeni). yani tuajili rais wa nchi pasipo kuangalia utaifa wake na nk, apewe donge nene na mashart yakutosha? mbona makampuni yenyewe yanafanikiwa?? tell me
 
Back
Top Bottom