Ngeleja na Malima wajiuzulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja na Malima wajiuzulu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Aug 16, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau natoa hoja ikibidi tuanzishe mkakati wa kuwashinikiza Mh W.Ngeleja na A.Malima mpaka wajiuzulu uwaziri wa wizara ya nishati na madini. Kuendelea kuwepo ofisini ni kutudhihaki na kutu tusi watanzania ambao tuna endelea kusota kwa sababu yao, ona mafuta yamepanda bei chini ya wiki mbili toka kutangazwa kushuka na kusababisha uhaba mkubwa, sasa hivi wana kashfa mpya ya kupokea mgao toka kwa Jairo, mgao wa umeme usio na kikomo wala ratiba ya kueleweka.

  sidhani kama wanastahili kutoa utumishi uliotukuka kwa watanzania, wawe na dhamira zinazo suta nafsi zao watoe fursa kwa wengine wajaribu kuendesha wizara yao nyeti
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unapoiita habari yako "News Alert" tukueleweje!?
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimeshangazwa, nilidhani kuna habari njema kumbe...
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkwère mwenyewe, inabidi awajibike!
   
 5. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri member wakaelewa kwamba hatufanyi biashara ya kuvutia viewers wa thread. Heading na contents vitu viwili tofauti kabisa. This is serious deceiving members.
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Hawawezi kujiuzulu.........hawa ni gamba la kwenye goti....gumu kama nini kutoka
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi thread punguwani kama hizi zinapenyaje kwenye jukwaa la griti sinkazz bila kuchujwa. Hivi huu ni muda wa kutia presha ili watu wajiuzulu? Kila siku majungu majungu hadi lini? Au miafrika ndivyo tulivyo?
   
 8. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Kumbe umekuja kufanya biashara JF? Shame on you!
   
 9. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Kumbe ukiacha msuba unakuwa na mawazo mazuri!
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Ati wanadai wewe ni Ruge Mutahaba?........aisee.....
   
 11. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Naunga mkono hoja, mia kwa mia!
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Yani nimeona kichwa cha habari nikashtuka ghafla machozi ya furaha yakadondoka baada ya kufungua kusoma DUH! NIMECHOKA SINA HAMU.
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hata mimi moyoni nilishaanza kujisemea kuwa nchi yetu inaelekea kuzuri kama uongozi umeanza kuachia ngazi kwa kutofanya vizuri. Kumbe ni tofauti na kilichomo. tuweni makini na headings zetu
   
 14. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Kiswahili lugha ngumu sana,mleta hoja hana makosa.Inaweza kuwa ni kauli yake tu kwamba anataka so and so wajiuzulu.Lakini pia inasomeka kama vile tayari wameshajiuzulu.Labda angetumia lugha nyingine.Ni wazi mleta hoja ana nia ya kuwavutia watu kwenye thread yake kwa kutumia maneno hayo.Amefanya hivyo kwa kuiweka kama news alert.Pia angeweza tu kusema "Nawashauri so and so wajiuzulu"Ila asingepata umma huu wa wachangiaji walioingizwa choo cha kike and vice versa.(Nikimaanisha na wale wa cha kike kuingizwa cha kiume)Lol!
   
 15. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Hawezi fanya hivyo. Wewe hukuona Riz1 alitumwa bungeni dodoma kuhakikisha washikaji wa Mkulu wanapitisha budget ya M/nishati? Hapo kuna mkao wa kula wa kufa mtu. Kuna Billion 408 toka serikalini na mkakati wa kuzirina ndio ulianzia pale pale bungeni.
  .
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Thubutuuuuuuuuuuu, hawa ni vyombo viteule vya JK, ukiwagusa hawa ni kama umegusa mboni ya jicho la JK.
   
 17. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kama kweli sisi ni great thinkerz 2jifunze kusoma maneno na alama za mshangao,swali au koma!heading ya hii thread mwishowe ilikuwa na alama ya kuuliza!
  Great thinkers huwa hawatoi majibu ya dhihaka,kukera wala yasiyo na busara!
  shame 2 u all mnaodhani ni great thinkerz kumbe sio
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono
   
 19. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mods wamei-edit baada ya comment za mwanzoni mwanzoni.
  Kabla ya hapo ilikuwa hivi:
  News Alert: Ngeleja, Malima wajiuzulu.
  We unaielewaje heading kama hiyo..?
   
 20. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kuna m2 anajiita mwita ila nikimtafakari sana naona atakuwa ****** huyu sijui hili jina la kiume kapata wapi?
  Kwa michango yake hawezi kuwa wa kiume(mkurya)
  huyu lazima ni vidole juu tu.
   
Loading...