Tanesco na mpango mgao na kukadilia matumizi baada ya bajeti

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Kuna wakati nashindwa kujua ya kuwa je waziri ngeleja ndio aliyewaambia tanesco kuanza tena mgao wa umeme mara baada ya kupita kwa bajeti yake au la ?


lakini jambo lingine baya wakuu wa tanesco wametoa maelekezo kwa watendaji wa tanesco kukadiria(estimate) matumizi ya wateja badala ya kutumia tarakimu kamili zilizotumika kwenye mita, hii itapelekea makadilio makubwa kwa wateje kinyume na matumizi yao waliyofanya,

nadhani ni wakati wa kuangalia tanesco wanamatatizo gani na kwanini shirika hili linaelekea huko na ikibidi wahusika wachukuliwe atua na kufanywe mpango maalum wa kubadili mita za kawaida ili walete mita za luku ili kuepusha tatizo ili
 
Back
Top Bottom