Kwa hilli tuna lundo la viongozi wasiofaa hata chembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hilli tuna lundo la viongozi wasiofaa hata chembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AKYOO ELIUD, Aug 17, 2011.

 1. AKYOO ELIUD

  AKYOO ELIUD Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Nianze kwa kumnukuu m/kiti wa kamati ya bunge ya mali asili na utalii, Ndg . Lembeli (MBUNGE) Amessema--- kuna watanzania wachache wanaoshirikiana na wa majangili katika kuiba na kusafirisha wanyapori hai, watanzania hao wanashiriki kufanikisha wizi huo. mwisho wa kunukuu. HIVI KWELI HUYU KIONGOZI TENA WAKAMATI YA BUNGE ANADIRIRKI KUWATUHUMU WANANCHI KUWANDIYO WEZI?????????????????,, MAMLAKA ZOTE ZA SERIKALI ZILIKUWA WAPI WANYAMA WANATOLEWA HIFADHINI HADI K.I.A BILA WAO KUJUA??? NI MAZINGZUMBWE GANI HAYA KUMFICHA TWIGA HADI KUPANDISHWA KWENYE NDEGE????????????
   
Loading...