Kampuni ambayo RIdhiwani ni wakili imepewa kazi ya kuwa mawakili wa EWURA dhidi ya BP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ambayo RIdhiwani ni wakili imepewa kazi ya kuwa mawakili wa EWURA dhidi ya BP

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwana siasa, Aug 18, 2011.

 1. m

  mwana siasa Senior Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wasalaam wandugu,

  Natumaini mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu. Leo nilikuwa naperuzi mada moja inayohusu BP kufunguliwa mashitaka na EWURA. Lakini nilipoona habari hiyo kukawa na jina la GRK Advocates kama mawakili wa EWURA.

  Sasa nikaamua kuiperuza hiyo website ya hiyo advocate katika upande wa partners nikaona picha ya Ridhi 1 na picha za mawakili wengine watatu.

  My opinion.

  Ni kwamba hatujajua mchakato mzima wa kampuni hii kuwa mawakili wa EWURA lakini pia tukumbuke sakata la DOWANS lililopelekea TANESCO kuingia gharama kubwa kwa kuichukua kampuni ya Rex na still kesi tukashindwa.

  Ukipenda peruzi grkadvocates.org
   
Loading...