Magamba wanamfukuza Mwenyekiti Halmashauri ya Geita now | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magamba wanamfukuza Mwenyekiti Halmashauri ya Geita now

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndyoko, Aug 17, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Habari za sasa hivi ni kwamba Chama cha Magamba (CCM) wameshajipanga kumfukuza mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita. kandoro kisha tia timu mjini geita tayari kwa kusimamia zoezi hilo.

  Nitaaeleza kinachojiri kadiri muda unavyokwenda.

  Acha hawa watu wavurugane, ni matokeo ya rushwa na hongo ndio tunayoyaona sasa.
   
 2. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Mwenyekiti kafanya nini?fafanua
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  let us be patient and wait to see. tafadhali tujuze yatakayojiri zaidi maana kwa ccm hii ya siku zote looks like its difficult for them kuchukuliana hatua za namna hiyo. labda ithibitike sana kuwa "si mwenzao"
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wapiganapo panzi ni fraha kwa kunguru
   
 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kuna bandiko la juzi nadhani lilitoa introduction ya huyu mwenyekiti anaskendo nyingi ambazo hazibebeki wala hazivumiliki. Ndo hayo tu kwa ufupi.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  AKITOKA KIBAKA ANAINGIA JAMBAZI
  CCM hamna msafi
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Binafsi magamba huwa siwaamini watakuwa wamezidiana dili yale yale ya kina Masaburi na Zungu.
   
 8. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Huyu amekuwa akipingana hadharani na GGM kuhusiana na uchafuzi wa mazingira na haswa sumu ya mgodi kuelekezwa kwenye vyanzo vya maji na hivyo kubana masilahi ya wakubwa .

  Huyu ndiye aliyeibua hoja kuwa mtoto wa Mkuu wa Wilaya anasomeshwa na kulipiwa ada na GGM kwenye fungu ambalo mgodi huwa unatumia katika kusomesha watoto yatima na amepinga suala hilo , kama mtakumbuka mwezi uliopita aliwasilisha malalamiko kwa rais akitaka mkuu wa Wilaya afukuzwe kutokana na kitendo hicho.

  Nafikiri kuna haja ya kuendelea kufuatilia zaidi kujua nini kiinaendelea huko.
   
 9. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameshindwa kumgoa baada ya kuonekana hawajampelekea tuhuma zake siku 7 kabla ya impeachment ili ajitetee kwa mujibu wa kanuni,hii ni vita ya ulaji mkurugenzi,dc dhidi ya m/kiti,magamba wa geita wanafikiri kimasaburi zaidi.
   
 10. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si hivyo tu anaingia mpaka FISADI- Kandoro amekwenda kufanyanini kama siyo kwenda kuvuta kitu kidogo.
   
 11. Amani Nyekele

  Amani Nyekele Senior Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Busara zichukue nafasi yake!! Isije ikawa wamemuwekea mbinu chafu kumtimua ili waendelee kunufaika kwa maslahi yao binafsi!!!! Lets watch!!
   
 12. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni hivyo wanafukuza mtetezi wa wanyonge wanaingiza JAMBAZI + FISADI.
   
 13. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  vipi Zungu ameshaachia ngazi kuhusu skendo ya Jangwani maana naona bajeti ya wizara ya Ardhi imepita.

   
 14. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimetaka kushangaa. CCM wafuke mwizi??
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ni kweli nakumbuka ndiye aliyeitisha maandamano ya wananchi kuipinga GGM, unajua ukiona CCM wanaungana kumtoa jua kawabana sehemu hawajui vitendo hivyo vya kuwachukia wanaojitolea ndivyo vinazidisha chuki kwa CCM..
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Kweli CCM hawataki watu wasafi, naona sio sera ya chama chao. Mi nlisha sema kuwa alama ya jembe na nyundo kwenye bendera yao siku hizi ina tafsiri mpya. Nyundo ni kwa ajili ya kuwapiga kichwani wale wote wanaotetea maslah ya wanyonge na jembe ni kwa ajili ya kuwachimbia kaburi na kuwazika bila kujali kama wako hai au wamekufa.
   
 17. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ccm hawana busara na wala hawataki mtu mwenye busara.
   
 18. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Mkuu Bujibuji hapo umesema, hawa wana maghamba siku hizi ni kanyaga twende. CDM kaza buti wanaendelea kujimaliza kiaina, wao pia tuwachimbie kaburi tuwazike!!!!!!!!!!!
   
 19. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hao wadogo wadogo wanaweza kujitutumua kuwatimua kwani hawa uswahiba na mwenyekiti wa magamba. Kiboko yao ni mapacha wawili, hapo kigugumizi na kwikwi huwa zinawapata ghafla!
   
Loading...