Mkuu wa wilaya manispaa ya tabora analazimisha walimu kuchangia mwenge na sherehe za uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa wilaya manispaa ya tabora analazimisha walimu kuchangia mwenge na sherehe za uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lutelemba, Aug 17, 2011.

 1. l

  lutelemba Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa wilaya ya manispaa Tabora mjini ameonja joto ya jiwe baada ya kutaka kuwachangisha walimu mchango wa sherehe za uhuru na mwenge walimu walimuchachafya kwa hoja kwenye ukumbi wa uhadhili mpaka akakimbia. anataka akusanye sh 280,000,000 milions kwa ajili ya miaka 50 ya uhuru na mwenge kupitia migogo ya walimu. wanajamii pia tunahitaji mchango wenu hivi ni haki kumchangisha mwalimu kwa ajili ya sherehe za uhuru na mwenge. magamba wataimaliza hii nchi.
   
 2. e

  ebrah JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi kwa nn tusifute hizi safari za mwenge? zina umuhim gni kwetu zaidi ya kupoteza hela na kutfutia watu posho?
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sijui kwa nini kuna watu wanaona umuhimu wa mwenge leo hii 2011, zama za science & technology. Kila kitu kina wakati wake, mwenge umetumika kufikisha ujumbe enzi hizo lakini kwa sasa watu wazima kuzunguka nchi nzima na hiki kibatari ni jambo lisilokubalika. Huu ni uzururaji. Wapeleke hiki kibatari kwenye jumba la makumbusho. huko ndio sehemu stahili na sio kupitisha kibakuli kwa wananchi eti wanataka hela za mwenge! zinaenda wapi hela za mwenge? million 280 kununua mafuata ya taa?
   
 4. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kwa muda mrefu sana walimu wamekuwa wakitumika kama mfuko wa maafa.
  Maneneo kama WITO na HAIBA yametumika kuwafanya walimu wapole na wanyenyekevu kupita kiasi.
  Upole na Unyenyekevu huo wa waalimu umetumika na watu ambao wala si wapole wala si wanyenyekevu kuwaibia.
  Walimu wanapaswa kupinga kunyonywa na kuibiwa kwa nguvu zao zote.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hawa wachangishaji hawaishii kuwachangisa walimu ht mtaani kwa raia wanawachangisha, kn raia wanatoa na wengn wng wanawakimbiza km mbwa koko
   
 6. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  walimu nao wamazidi bana mpaka sasa hawana shirikisho la kueleweka kusimamia haki zao
  watasimama mmoja mmoja mpaka lini?

  kama wafanyakazi watatetea haki zao kama individual basi wajue serikali itawanyonya kwa miaka mingi ijayo
   
 7. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Yani hiyo sio Tabora tu hata mwanza misungwi walimu wanalazimishwa kuchangia huo mwenge, yani inauma sana kwanini tuendelee kuchangia kitu ambacho hakina manufaa yoyote, mm naona kazi ya mwenge ni kueneza ukimwi na mambo machafu ya pombe. jamani watz tuamke tukatae kukandamizwa na kunyonywa, huo mwenge wangekuwa wanakatwa mafisadi kuliko walimu ambao mshahara wenyewe wanaoupata hautoshelezi kabisa, MFUMO WA SERIKALI ni mfumo wa kinyonyaji kwa wasionacho.
   
 8. C

  Chewa5 Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaongelea kwa mt.ko nn? cwt shirikisho la marubani? uliza kwanz
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Walimu nao wapunguze unyonge duh! Daily wao ni kuonewa na kudhalilishwa teh!
   
 10. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tatizo lenu watanzania hamkumwelewa Jaji Werema. Aliposema tuzuie maandamano alimaanisha tuufute Mwenge ambao ndiyo maandamano pekee yanayokata kilometa nying kuliko ya CHADEMA kwani haya huanzia kona moja ya nchi na kuishia kona nyingine ya nchi.
   
Loading...