Kigoma: Mwamko huu unatoka wapi?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,510
7,541
ni miezi kadhaa imepita tangu uchaguzi mkuuu ufanyike. majimbo ya ubunge karibia yote yamekwenda kwa vyama pinzani. sidhani kama kuna mkoa ambao hili limeshawahi kutokea hapo kabla.je huu mwamko au uthubutu wa kufanya maamuzi haya unatokana na nini? je ni elimu, maendeleo ya kiuchumi, au aina ya watu na desturi za watu (makabila) yaishiyo huko? kwa nini hayo hayatokei mikoa mingine. naomba wadau mnisaidie kwa hili?
 
hahahahahaah unawajua waha acha kabisa hawa jamaa wana undugu na na kagame upuuzi hawataki.....yani ukiwazingua inakula kwako kama unabisha utaona janga la kisiasa litakalo mkuta ZITTO
 
ni miezi kadhaa imepita tangu uchaguzi mkuuu ufanyike. majimbo ya ubunge karibia yote yamekwenda kwa vyama pinzani. sidhani kama kuna mkoa ambao hili limeshawahi kutokea hapo kabla.je huu mwamko au uthubutu wa kufanya maamuzi haya unatokana na nini? je ni elimu, maendeleo ya kiuchumi, au aina ya watu na desturi za watu (makabila) yaishiyo huko? kwa nini hayo hayatokei mikoa mingine. naomba wadau mnisaidie kwa hili?
tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi. Majimbo yote? wewe ni mtanzania? au unaongelea nchi ipi? ccm inawabunge wangapi?
 
Wana magamba walikosea mbinu walizopewa za kuchakachua, Mwamko wa kuikataa CCM upo kila mahali isipokuwa uchakachuaji ulituzidi nguvu. Hivyo usiwasifie saaaana watu wa Kigoma
 
Ni mwamko na uelewa wa wananchi, watanzania wa leo sio wale wa mwaka 47, na sio kigoma tu, angalia mwanza, Dar, Kilimanjaro n.k
 
hujasikia ya geita jana?kila mtu kachoka na ccm imebakia kuingia mtaani tuu kuikomboa nchi
 
tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi. Majimbo yote? wewe ni mtanzania? au unaongelea nchi ipi? ccm inawabunge wangapi?

Acha kudandia gari kwa mbele we ngwendu. Hii topic aliyoianzisha JAYJAY inaongelea mkoa wa Kigoma sio Tanzania yote, we vipi!
 
Mwamko huu,,I think unatokana na kuendelea kulegalega kwa CCM kusimamia rasilimali za nchi kwa maendeleo sawa ya wananchi wake, kwa upande mwingine kupanuka kwa uelewa wa wananchi juu ya uwezo wa kutathmini mustakabali wa nchi yao wakijilinganisha na nchi jirani. Watu wa kigoma walinipa raha sana last elections pia mwanza,shinyanga. Big up zao sana!!!
 
sio kigoma tu kaka mikoa ya pembezoni na wajanja.kongo,burundi,rwanda,uganda,kenya na zambia.
wa katikati siku zote ni waoga,hata kitandani mkilala wengi waoga hupendelea kulala katikati.
 
Tena ingekuwa sio kuchakachua hata kigoma mjini magamba walishachapwa makonzi ya macho.....Lakini kwa kutumia ngunguli na mikwara mingi shemeji yenu akatokea kwenye tundu la sindano!!!....Hata kigoma kwenye anakwenda kwa machale!!!
 
Muha mmoja anauwezo wa kubishana na abiria 80 ambao ni behewa zima...haijalishi yuko right or wrong. Ila sifa yao kuu wako committed na mambo wafanyayo. Ukikuta ni mlokole ni mlokole kweli...vivyo hivyo kws footballers..jambazi...wachawi n.k
 
Hicho unachokiita mwamko ni dalili za kufa kwa CCM.Kama wanabisha wabishe tu kwa vile wanatumia masaburi kufikiri lakini taa nyekundu imesha waka CCM inakufa.
 
tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi. Majimbo yote? wewe ni mtanzania? au unaongelea nchi ipi? ccm inawabunge wangapi?
Kweli una gamba kwenye ubongo!! wapi NCHI imetajwa?!! vua GAMBA au utaachwa kwenye kundi la wezi!!
 
Muha mmoja anauwezo wa kubishana na abiria 80 ambao ni behewa zima...haijalishi yuko right or wrong. Ila sifa yao kuu wako committed na mambo wafanyayo. Ukikuta ni mlokole ni mlokole kweli...vivyo hivyo kws footballers..jambazi...wachawi n.k

da ! kweli kabisa, najaribu kuunganisha kauli yako na baadhi ya washkaji zangu waha yaani ni balaa sana
 
Back
Top Bottom