Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Muda mchache uliopita nikiangalia habari za kibiashara CNN nimesikia bei ya Dhahabu imefikia dola 1800 kwa ounce moja,sasa sisi Watanzania tuendelee kupewa asilimia 3 ya bei waliojipangia migodi...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Muda mfupi uliopita Mbunge wa Nyamagana CDM Mh. Ezekiah Wenje amenukuu kifungu kinachoruhusu kujadiliwa kwa jambo la dharula katika Nchi na kumtaka Spika kuuahirisha Mjadala wa Wizara ya Maliasili...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
* Wakaguzi wabaini ufujaji pesa za miradi * Mabilioni ya pesa za walipa kodi yayeyuka * Kashfa kwenye ununuzi wa mashangingi 68 * Wafadhili watishia kuzuia misaada yao WIZARA ya Maji na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Bajeti Wizara ya Afrika Mashariki UPDATES: Sitta Kikaangoni, Zitto ampa ShavuBaadhi ya Wabunge wa CCM kutoka kambi ileee (Naomba niishie hapo) wameonekana dhahiri kutimiza azma yao ya muda mrefu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na kuhusishwa na kashfa ya kutorosha nyara za taifa nje ya nchi kinyume cha sheria, kuna haja ya kuchunguza akaunti za vigogo hawa wawili ili sheria ichukue mkondo wake.
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili. Hata hivyo kwa...
0 Reactions
102 Replies
9K Views
Tangu zamani nilisikia wakisema Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu, lakini pengine sikuelewa maana hata mama alipo niambia kua-uyaone mwanangu nilifikili niyaone maghorofa kumbe alimaanisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
*Ifuatayo ni makala yangu iliyotoka kwenye gazeti la KULIKONI la leo tar 19 Agosti, 2011. Makala zangu mbili zilizotangulia nilielezea kuhusu miaka 50 ya uhuru wetu na kugusia kwamba matatizo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa takiribani miaka kumi sasa nchi yetu imekuwa ikigubikwa na kashifa mbalimbali za ufisadi na hasa zikiwahusisha maafisa waandamizi au wakuu wa serikali je hali hii mpaka lini? Hatuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mheshimiwa Waziri Maige tumefurahia kuona mkakati wako wa kuzuia ubadhirifu wa matumizi mabaya katika mamlaka ya Bonde la hifadhi ya Ngorongoro, hapo tunakupa hai. Lakini je unaweza kutupa data...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ATETEA WAWEKEZAJI UTALII WAKATI ALIWAKATAA KADCO, MAMA KILANGO ACHACHAMALIA WENYE MAHOTELI. Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ambaye pia ni mbunge wa Hai Freeman Mbowe (chadema) amegeuka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa NIshati na Madini William Ngeleja akiwa bungeni, jana wabunge walimshutumu kuwa tokea ateuliwa katika nafasi yake hakuna alichokifanya katika wizara yake Kizitto Noya na Habel...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Politics of parentage Former Zambian President Frederick Chiluba. Towards the end of his first term, all indications were that he would not make it back for a second term. Many Zambians...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Inashangaza kidogo kwa chalii star kama Dwight Howard wa Orlando Magic kuja Bongo moja kwa moja Monduli eti kutoa msaada wa mil 90 kwa shule ya sekondari Monduli?Sina tatizo na kutoa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Historia hujirudia, au ndo tuseme hujiendeleza! Thats what I get when I have been going through one article here! I will reproduce part of it for the benefit of any interested person...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Asalam-aleikhum wenzangu katika Mfungo haswa wa visiwani, naomba kuuliza ati katika picha hiyo ya hao viongozi nani chief hapo? au ndiyo zile bifu zetu za Uunguja na Upemba huyu Makamo wa Rais wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Edward Ngoyai Lowassa! Nina Mengi ya kumweleza. Nikikutana naye sitamwambia kuwa yeye ni fisadi, wala kwamba yeye ni GAMBA. Ila nitamwalika kwa chakula cha jioni. Nitamwambia yeye ni mchapakazi...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Muhimu: Nani kati ya hawa unamwona anafaa kupeperusha bendera yetu Igunga toa pia sababu. 1. Kajua Sebastiani 2. Marco Amos 3. Kahema John, 4. Buzinza Magego, 5. Dickson Samsoni, 6. Anwari...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Mgao sasa hauna Mipaka Thread hii ni ya Tarehe 22 July 2011 ambayo hapo awali zilianza kuonekana kama hadithi, pamoja na kuamua kuongeza Mega Watt 32 kutokana na Nishati ya Gesi sina hakika kama...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Leo kulifanyika Kongamano kubwa lililoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjro Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Said Kalembo. Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa YMCA lilihudhuriwa na Wakuu wote...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom