Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasemekana ni takrima kwenye kampeni huko Igunga jamani walio huko tupeni ukweli wenyewe wajameeni!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na kusikitishwa na kitendo cha Wassira na wafuasi wa CCM kuwapiga na kuwakamata vijana alio nyosha mikono na kuonyesha ishara ya CDM katika mkutano wa CCM. Jamani naomba mnisaidie...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakuna rafiki wa kudumu katika siasa wala adui wa kudumu katika siasa, vijana wengi hasa cdm ni wachanga katika siasa wamezoea siasa furaha wakati wote kwao wanapoguswa kidogo hupiga kelele kama...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Sijaweza kuikopi full program humu manake iko kwenye itunes. kama kuna mtu anajua jinsi ya kukopi itunes programs humu anisaidie ili niiweke kila mtu aiangalie manake inasikitisha sana...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa j Waandishi Wetu, Igunga KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa jana mchana alilazimika kukatisha mapumziko yake ili kumwokoa Mbunge wa Sumbawanga...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mwananchi toa mchango wako hapa kuipa ushauri Chama cha CHADEMA kwani hiki chama kimeonekana nichama kikuu cha upinzani nchini na kimeikabili vilivyo CCM mpaka wanaanza kutumia njia zisizo kuwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
UAMUZI wa wapiga kura wa Igunga mwaka 1994 ndio uliotupatia Rostam. Ni uamuzi huo huo ndio uliotupatia Rostam mwaka 1995 na ni uamuzi ule ule ndio uliomrudisha tena mwaka 2000. Ni uamuzi wa...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Ndorwe Vanyua Usangi Mwanga Kilimanjaro Niliwahi kuweka hii post lakini sijui kwa nini haikutokea. Naomba leo niirudie tena. Tuna viongozi wengi sana wanaotokana na magamba ambao ushindi wao...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Habali za uhakika zilizonifikia ni kwamba hali ya afya ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Pwani HAJATI AMINA SAID MRISHO ni mbaya. Kwa sasa amelazwa katika Hospital ya Hindu Mandali jijini Dar es...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Chadema mnahitaji message simple kwa wana igunga nayo ni CCM haina uwezo wala fedha za kujenga au kurepea daraja kwani makampuni yao yote yamewashinda na yamefilisika. Ni nani anayejenga daraja...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Ivi nchi hii inaelekea wapi?mbona maisha kila kukicha yanapanda juu??i am really dissappointed by our president,and our top leaders..wote wala rushwa tu...nipo tayari,kushka silaha na naitafuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka jana alikwenda rais Kikwete akawaambia wana Igunga kuwa Rostam Aziz ni mtu muhimu na mchapa kazi ndani ya CCM hivyo achaguliwe. Viongozi wa upinzani walienda wakasema Rostam Aziz ni fisadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huyu jamaa hapa alienda kuonmba msaada ama!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Matumizi ya helkopta yanayo fanywa na vyama vitatu vikubwa hapa nchini yanathibitisha kuwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu. katika kuthibitisha hili je kampeni za dar es salaam hufanywa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UCHAGUZI HAUTAKUWEPO j2.. natabiri tu....!!
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Leo taarifa ya habari ya ITV imemuonyesha waziri Magufuli akitoa ahadi kibao za ujenzi wa madaraja na makalvati huko igunga akiwa pamoja na naibu waziri wa maji ambaye naye katoa ahadi zake ...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kamati ya maadili imempiga faini tsh 100000/ kwa kosa la kwenda na silaha kwenye mikutano ya kampeni
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom