How do these people sleep at night? They just don't give a damn about mwananchi... Zao arobaini

Ether

Senior Member
Mar 16, 2008
137
37
Sijaweza kuikopi full program humu manake iko kwenye itunes. kama kuna mtu anajua jinsi ya kukopi itunes programs humu anisaidie ili niiweke kila mtu aiangalie manake inasikitisha sana.

[video]http://blip.tv/hdnet-news-and-documentaries/this-week-on-dan-rather-reports-5579227[/video]

[video=youtube_share;2s-Q2vZGN9g]http://youtu.be/2s-Q2vZGN9g[/video]
 

Deo

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
1,215
362
"That peace of land will be for the company and people of all cultures, now whether those people will be moved fro here or there is not our business is for the goverment" What a shameful statement, such statement are made by land grabbers, agents of Neocolonialism. For one has moral responsibility when you take away the land of the poor, weak and from those whom justice is never reachable.

Japo sijaelewa vizuri muktadha wa hii video lakini na hisi ni lile suala la sumbawanga ambapo waziri nagu alijikanyaga bungeni.

Aibu kwa serikali ya kikwete.

Tuanze kupigania uhuru
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom