Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kitendo cha CCM, chama ambacho ni kikongwe na ambacho miaka yote kimetawala nchi kutumia HELKOPITA 2 kwa ajili ya kampeni kinadhilirisha kuwa hali si shwari hata kidogo. Wananchi wa Igunga wengi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tuesday, 27 September 2011 19:45 Christopher Maregesi, Bunda MAPINDUZI ya uongozi yamefanyika ndani ya Chadema katika Jimbo la Bunda wilayani hapa, baada ya kundi moja kufanya uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KITENDAWILI cha iwapo Kampuni ya kufua umeme ya Dowans inastahili kulipwa tuzo ya Sh94 bilioni na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) au la kinatarajiwa kuteguliwa wakati Mahakama Kuu Kanda ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwewe cha uchaguzi Igunga kimezidi kutesa vyama vya CCM na Chadema, baada ya kuendelea kutuhumiana huku chama tawala kikidai kunasa kile ilichokiita mpango wa siri wa wapinzani wake hao wa...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Tupo katika kijiji cha Ipumbulya kata ya Bukoko wilayani Igunga kwenye mkutano wa kampeni. Duru za siasa zinasomeka kwamba kwa kitendo cha CDM kumdhalilisha yule mama DC, tayari akina mama hapa...
1 Reactions
205 Replies
18K Views
Most Tanzanians lives in theories not practical!! That weakness is a huge advantage to ccm. CCM always asserts theories to Tanzanians guiding them to believe in illusions! Illusions like udini...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Star tv wapo live wanachambua hotuba ya rais aliyoitoa siku ya idi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kurejea kutoka nchini Zambia alikokuwa mwangalizi wa kimataifa wa uchaguzi huo kupitia Jumuiya ya madola leo hii Mbunge wa Ubungo John Mnyika akiambatana na Mwanasheria na Mjumbe wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Inashangza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi mbona rais wa Tanzania naye hatangazi nafasi za kazi tukaapply au hao waliopo wanaendelea kuwapo ikiwa hawajachujwa kwa kiwango ndo maana wanafisadi? Hebu angalia baada ya kuapishwa Obama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wed, Sep 28th, 2011 Wed, Sep 28th, 2011| Tanzania George Patrick Bageya Veteran Politician and former Iganga district chairman George Patrick Bageya died on the spot on after his Benz car...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Respect Mkuu Eng.Nsiande! Nakunukuu kabla ya kurusha kombora zito kwako "Mhandisi wa mifumo na njia kuu za umeme..safarini Mpanda" Hivi..whats going on honestly? Mnalipwa mishahara kwa result...
3 Reactions
100 Replies
9K Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Manyoni na Mkimbiza mwenge kitaifa siku za nyuma Jamal Kuwingwa na wenzake wawili wanatuhumiwa kumteka nyara na kumtesa hadi kufa kijana Boniface...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Utamjua mpinzani wa kweli kutokana na namna CCM inavyotumia nguvu nyingi kupita kiasi kupambana naye. naomba hata wana CCM wenyewe kurudi nyuma na kujiuliza kama kweli madai ya CCM kuwaletea...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh. Zitto tarehe 25 huko Mwanzugi Igunga aliwafungua macho wakazi wa Igunga na Mikoa ya jirani kuwa Mradi wa ziwa Victoria ulitumia Kodi za ndani kwa manufaa ya Wawekezaji wa Migodini na si kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
:laser:Mh Twendwa sheria yako ya gharama za uchaguzi vipi au imefanyiwa marekebisho au Igunga ni special case? Uko wapi au ndo mbwa koko!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ilivyowahi kusemwa huko nyuma "once a fisadi, alwayz.....". Nadhani wengi wetu mmesikia kilichotokea kuhusu helikopta za kampeni ya CCM. Ntawashangaa wale wanaoshangaa kwamba kukwama kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zilizotufikia muda huu zinasema kuwa mkuu wa mashambulizi nape nauye atatinga igunga na mwenyekiti wake Jakaya Sasa hapo igunga itarindima si kawaida Big up Nape Kaikomboe igunga Vijana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Shibuda unatafutwa uende Igunga kushindanisha kisukuma na magufuli bado haujarudi nje? Kumbuka wewe unamchango mkubwa kwetu licha ya tofauti kadha zinazojitokeza lakini bado tuna kuamini.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni ajabu na kweli, watanzania wote wanauangalia uchaguzi wa Igunga kama uchaguzi wa kitaifa, kwa sasa watu wanaangalia TV ili kupata updates za igunga na ikitokea taarifa inakaribia kuisha watu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom